Hayati Magufuli aliipiga marufuku biashara ya jongoo wa baharini ambayo kwa kiasi kikubwa inafanywa na raia wa China. Kwa Wachina jongoo bahari ni chakula murua (delicacy), na pia ana matumizi mbali mbali ya madawa. Utafaiti wa hivi karibuni unaonesha jongoo bahari ni tiba ya kansa hasa katika...