jose chameleone

  1. Mtoto wa Jose Chameleone: Baba yangu afya yake si nzuri, lakini waandaaji hawa wanaendelea kumualika na kumtumia kama chombo cha kuzalisha pesa

    Abba Marcus Mayanja, mtoto wa msanii maarufu wa muziki nchini Uganda, Jose Chameleone, kupitia ukurasa wake wa TikTok ameongea kwa hisia kubwa na mashabiki wa baba yake kuhusu changamoto za kiafya anazopitia baba yake kutokana na matumizi ya kupitiliza ya pombe (Addiction). Katika ujumbe wake...
  2. Shida za Dunia, Jose Chameleone (Lyrics)

    Shida za Dunia Artist: Jose Chameleone Released: 2006 Album: Kipepeo Lyrics Rafiki yangu alikuja nyumbani, Kunielezea shida Fulani, ati alifukuzwa kazini na hajui atafanya nini, Mke wake amemutoroka, Rafiki zake wanamcheka, shida amepata nyingi amechoka, dunia anajuta. Acha kulia, shida...
  3. Jose Chameleone: Hakuna msanii wa Tanzania na Kenya anayetufikia kwa Kuimba, wanabebwa na Mashabiki tu

    Msanii Mkongwe wa Muziki, Jose Chameleone amesema licha ya Muziki wa Uganda kuachwa nyuma na Kenya na Tanzania, bado taifa hilo linajivunia uwezo wa kuimba walionao Wasanii wake ambapo hakuna Msanii wa Tanzania wala Kenya anayefikia uwezo huo. Amekiri, Muziki wa Uganda uliyumba kutokana na...
  4. I

    SoC02 One Year of Tanzanian President Hassan: What’s Changed

    March 19, 2022, marks the one-year anniversary of Tanzanian president Samia Suluhu Hassan’s inauguration. As the country’s former vice president, Hassan became the constitutionally mandated successor of late president John Magufuli after he allegedly died from Covid-19 in early March 2021. Her...
  5. Kayz: Jose Chameleone is Far Better that Bebe Cool and Bobi Wine, He's Uganda's No.1

    Media personality Kawalya Isaac Kayz has stated that singer Jose Chameleon Uganda's Number One Musician, far much better than Bebe Cool and Bobi Wine. During a Live TV Show dubbed Uncut Sabula, Kayz said that every song Chameleon releases becomes a hit and on top of that his music is classic...
  6. Jose Chameleone: Hayati Magufuli hakuwa rais wa Tanzania tu bali rais wa Afrika mashariki

    Msanii na mkongwe wa muziki kutoka nchini Uganda 🇺🇬 @jchameleon ameeleza sababu za kutoka Uganda na kuja Tanzania kwa ajili ya kutoa pole na kumuaga hayati Rais Magufuli. Akiongea na kituo cha habari cha EFM Chameleon ameeleza kwamba:- Bofya hapa chini kutazama.
  7. Yupo wapi Jose Chameleone?

    Mwanamuziki huyu alivuma sana Afrika Mashariki kwa sisi ambao ni wahenga kidogo, miaka ya mwanzoni mwa 2000. Alikuwa akitusuuza nyoyo zetu kwa vibao vyake vikali kama "mama Mia" "acha kulia mambo ya Dunia!" Na vingine kadhaa kwa wakati ule Jose Chamilione na wadada waliokuwa wanajulikana kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…