Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere, Joseph Butiku amesema siku hizi siasa zitaka kugeuzwa kama mchezo wa kihuni huku akidai kuwa nchini kuna Watu wanaopenda siasa za kihuni.
Akizungumza September 10, 2024 amesema kuwa jamii haitakiwi kuunga mkono wanaohitaji...