MWANDISHI Joseph Gandye, Mhariri wa Maudhui wa Watetezi TV ameachiwa kwa dhamana na Jeshi la Polisi mkoani Iringa, alikokuwa anashikiliwa kwa kosa la kuchapisha habari za uongo mtandaoni.
Gandye ameachwa huru jioni ya leo tarehe 24 Agosti 2019 baada ya kutimiza sharti la kuwa na mdhamini...
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUKAMATWA KWA MWANDISHI WA HABARI ZA KIUCHUNGUZI JOSEPH GANDYE WA WATETEZI TV.
1.0 Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu una laani tukio la kukamatwa kwa Mwandishi wa Habari Joseph Gandye, ambaye ni Mhariri wa Uzalishaji Maudhui msimamizi msaidizi wa Watetezi TV...
Baadhi ya wafanyakazi wa kiwanda cha hong way interntional ltd kilichopo Mafinga wanalalamika kwa kulazimishwa kulawitiana. Wanasema amri hiyo ilitolewa na askari baada ya kupelekwa kituoni kama watuhumiwa kwenye kiwanda hicho.
====
Vijana 5 Waliokua Wafanyakazi Wa Kiwanda Cha Hongway...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.