Habari wakuu
Laurent Kabila alikataa kuwatambua Banyamulenge na watutsi wengine kama raia wa Congo kiasi alisema mkataba waliokubaliana ulikuwa wa vichochoroni
Jana Joseph Kabila anamlaumu Tschekedi kukataa kuwatambua watutsi na Banyamulenge
Hii imekaaje?
Rais wa zamani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila amesema kuwa, uongozi mbaya wa mrithi wake, Rais Felix Tshisekedi umechangia pakubwa kuzidisha mzozo mashariki mwa nchi hiyo.
Kabila amesema hayo katika makala yake kwenye gazeti la Afrika Kusini la Sunday Times na kuongeza...
Uchaguzi wa Congo DRC wa mwaka 2018 ulikuwa ni fursa ya dhahabu ya Congo kurekebisha mambo mengi sana na kuipa nchi hiyo muelekeo sahihi wa kitaifa kwa mara ya kwanza ila uroho wa madaraka wa Kabila kulinda maslahi yake na kutoheshimu matakwa ya raia ukaikosesha Congo fursa hiyo.
Katika...
Katika makala yake kuonyesha muda mrefu ambao Raisi Yoweri Museveni wa Uganda amekaa madarakani, gazeti la Guardian limeandika kwa namna ya kuonyesha watu kadhaa waliokuwa maraisi hawapo tena duniani, wakati bado wako hai!
Haya ndiyo waliyosema Guardian.
Museveni surpasses 18 EAC counterparts...
Nani anayetaka kumwua Rais mstaafu wa DRC?
Uebert Angel, muhubiri aliyejipatia umaarufu kupitia tabiri nyingi alizozitabiri kutimia, ametabiri kuwa maisha ya mtajwa yapo hatarini. Anaonya kuwa hata South Africa si salama kwake.
Aliona katika maono Joseph Kabila akiwa amekimbilia South Africa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.