Wakuu,
Panazidi kuchangamka huko,
Baadhi ya vyama vya siasa nchini vimesema haviko tayari kususia uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba, mwaka huu kwa kigezo cha marekebisho ya katiba mpya.
Haya yamebainishwa mkoani Morogoro na Makamu Mwenyekiti Taifa Chama cha NCCR Mageuzi Joseph...
Joseph Selasini, Makamu Mwenyekiti NCCR Mageuzi amesema kwamba ukiingia kwenye siasa hasa zile za upinzani jiandae kutoa zaidi kuliko kupokea, na wanasiasa wengi wamekuwa maskini kwa sababu ya kutoa.
Joseph Selasini wa NCCR-Mageuzi amesema kuna tabia imezuka ambayo yanaweza kuhatarisha tunu tulizonazo ikiwemo amani.
Amesema kwa sasa mtu akikosoa badala ya kuangalia hoja watu wanaangalia dini ya anayekosoa na dini ya anayekosolewa na kuleta hoja ya udini, suala ambalo si jema kwa ustawi wa...
"Muungano ule (UKAWA-2015) ulilenga kuviua vyama vingine na Chadema ndio ilikuwa namba moja kuvimaliza vyama vingine, NCCR Mageuzi haitarudia makosa yale"
Joseph Selasini, Makamu M/kiti NCCR Mageuzi.
Chanzo: Jambo TV
Baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA Mbowe kusema chama chake hakihitaji ushirikiano au muungano na vyama vingine vya upinzani baadhi ya viongozi wa upinzani wamemshukia kama mwewe.
Selasini wa NCCR mageuzi amesema 2015 CHADEMA kupitia UKAWA ulikuwa na mkakati wa kuviuwa vyama vingine vya upinzani na...
Makamu Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, Bara, Joseph Selasinametoa ombi hilo katika Mahakama Kuu, Masjala kwa maelezo kuwa bado anakamilisha nyaraka za utetezi.
Katika ya msingi namba 184/2022, Mbatia anaiomba Mahakama itamke kuwa tuhuma alizozitoa Selasini dhidi yake ni za uongo, na hivyo imwamuru...
Makamu mwenyekiti wa NCCR mzee Selasini amesema aliyekuwa mwenyekiti wao Mh Mbatia ameuza shamba hekari 45 Bagamoyo, Nyumba mbili za ghorofa Bunju DSM na Nyumba moja mkoani Mara na Fedha kuzichukua yeye binafsi.
Tumekabidhi swala hili Takukuru ili kushughulikiwa kwani lilishahojiwa hata na CAG...
Makamu mwenyekiti wa NCCR mzee Selasini amesema ni ajbu kwa Kiongozi wa chama cha Siasa kukaa madarakani kwa miaka 20 na zaidi kwani ni kuwanyima Vijana fursa za Uongozi
Mbatia aliwafukuza mzee Mrema na David Kafulila sasa iweje nongwa yeye kuondolewa? Ameuliza Selasini wakati akiongea na...
Imeripotiwa kwamba mamluki Joseph Selasini, aliyeongoza mapinduzi haramu ndani ya chama cha NCCR Mageuzi ametimuliwa rasmi baada ya ofisi ya msajili wa vyama vya siasa kumtambua rasmi Mbatia kuwa Mwenyekiti halali wa chama hicho. Mwingine aliyetimuliwa ni Katibu Mkuu wa Chama hicho.
Usaliti ni...
Picha: Joseph Selasini
Joseph Selasini: Kuna barua inaonekana kusambaa katika mitandao ya kijamii ikidaiwa kusaini wa na katiba kata wa Makiidi nyumbani kwetu, ikinihusisha mimi na uanachama wa CHADEMA. Niliondoka CHADEMA mwezi Juni 2020, na tangu nilipoondoka CHADEMA sikurejea tena"
Joseph...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.