joseph sinde warioba

Joseph Sinde Warioba (born September 3, 1940) served as Prime Minister of Tanzania from 1985 to 1990. Furthermore, he served concurrently as the country's Vice President. He has also served as a judge on the East African Court of Justice, and as chairman of the Tanzanian Constitutional Review Commission.
He was born in Bunda District of Mara Region in Tanzania. He graduated from the University of East Africa in Dar es Salaam, Tanzania in 1966. From 1966 to 1968, he served as state attorney in Dar es Salaam, and from 1968 to 1970, as solicitor for the City Council. In 1970, he graduated from The Hague Academy of International Law. From 1976 to 1983, he served as the attorney general of Tanzania. From 1983 until his election as prime minister, he served as minister of justice.
Following his tenure as prime minister, he served as a judge on the Hamburg, Germany-based International Tribunal for the Law of the Sea from 1996 to 1999. Furthermore, in 1996, President Benjamin Mkapa appointed him as chairman of the Presidential Commission Against Government Corruption, better known as the Warioba Commission.
Warioba was chosen to lead the Commonwealth Observer Group in the April 2007 Nigerian elections. He gave a positive assessment of the elections, deeming them to be progress while also saying that there were irregularities.Warioba was appointed in November 2016 by the President of Tanzania John Magufuli as the Chancellor of Sokoine University of Agriculture in Morogoro, Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. chiembe

    Joseph Sinde Warioba, mwana CCM pekee ambaye amegoma kumpongeza Wasira kwa nafasi ya umakamu CCM?

    Ni Wasira ndiye alimuondoa Warioba katika ubunge wa Bunda, walipelekana mpaka mahakama ya rufani. Sijamsikia Warioba akitoa hata pongezi, kulikoni!? N. B: Ni Wilaya ya Bunda ambayo imetoa Makamu wa Mwenyekiti CCM Taifa, Waziri Mkuu, nadhani(hata Mwenyekiti wa CCM taifa, Julius Kambarage...
  2. chiembe

    Chuki za Joseph Sinde Warioba dhidi ya serikali zilianza baada ya Kippi Warioba kuondolewa kwenye ukuu wa Wilaya

    Za ndaani kabisa ni kwamba Mzee Joseph Sinde Warioba chuki yake ilianza kuumuka baada ya mtoto wake kuondolewa kwenye nafasi ya ukuu wa Wilaya. Kila akipata fursa lazima afurumushe makombora mazito, lakini chanzo ni hicho.
  3. chiembe

    Hakuna Rais wa Tanzania aliyewahi kumteua Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji wa Mahakama yoyote hapa nchini, awe mkweli asipotoshe

    Katika historia ya nchi hii, hakuna Rais yeyote yule aliyewahi kumteua Mh. Joseph Sinde Warioba kuwa Jaji, na katika vitabu vyote vya hukumu zilizoripotiwa, hakuna hukumu hata moja ya Mh. Joseph Sinde Warioba. Hajawahi kukalia kiti cha ujaji hata mara moja. Katika orodha ya majaji wa nchi hii...
  4. Mtu Asiyejulikana

    Utaratibu na Ratiba za kumjibu Joseph Sinde Warioba kutokana na Press yake leo

    Maandalizi yanaendelea kumjibu yeye na si kujibu hoja zake. Suala la hoja sidhani kama ni kipaumbele. Ila itabidi ajibiwe hakuna kumwacha hivi hivi. Wapo vijana ambao hawajifikirii mara mbili mbili wakiambiwa wamjibu Mzee Warioba. Tunawafahamu. Wapo ni kupewa tu go ahead then wamwagie maji...
  5. Mtu Asiyejulikana

    Hivi Mzee Joseph Sinde Warioba hana watoto wa kike ambao hawajaolewa?

    angaaa ningempata mmoja kwa kweli. huyu mzee ana akili sana sijui watoto wake wakoje ikiwa anao. nilitamani hata nione mtoto mmoja wa kike kutoka kwake niwe tu najisifia kuwa Mzee Warioba ni Mkwe wangu. Baba yangu ni CCM ambaye yupo kwenye system muda mrefu. huwa anaumia tu lakini anasema...
  6. I

    Paul Kimiti akiri kuhujumu Katiba ya Joseph Sinde Warioba

    Leo jumatatu katika kipindi cha Dakika 45 cha ITV kinachoongozwa na Farhia Middle aliyekuwa Waziri wa Kilimo na pia kada maarufu wa CCM amekiri kuhujumu katiba ya Warioba ambayo ilipendekeza serikali tatu. Itakumbukwa Kimiti alikuwa mjumbe wa Tume ya Warioba iliyozunguka nchi nzima kutafuta...
  7. Imma_Magira

    Mti mbichikuni ukageuka - na Aron Seni

    MTI MBICHI UKAGEUKA KUNI Na- Aron Seni ilikuwa asubuhi tulivu na njema ya mwaka 1977. Baba wa taifa hayati JK Nyerere alipomuita nyumbani kwake msasani-Dar es salaam aliyekuwa Mwanasheria mkuu wa serikali kwa wakati Huo Ndg Joseph Sinde Warioba. Mwalimu akamwambia Sinde "Nataka unipe majina...
Back
Top Bottom