"...ni ajabu kama yote hayo alitendewa na bado hakuwasilisha malalamiko kwenye vyombo vya dola inaleta ukakasi."
"...hivi kweli utendewe yote hayo muda wote huo ndiyo usubiri hasi Krismasi useme?!" Amehoji Simbachawene.
"....kwasababu yupo hapa Dar es Salaam na ametoa tuhuma nzito namna ile...
Kiongozi wa makanisa ya Efatha Ministries Tanzania Nabii, Mtume na Askofu Josephat Mwingira amezua taharuki na mjadala mkubwa katika vyombo vya habari TV, redio na social media kwa sababu ya mahubiri yake ya Jana Jumapili kanisani kwake.
Baadhi ya watu na wengine viongozi wa serikali kabisa...
NUKUU ZA ASKOFU MWINGIRA:
1. "Nimenusurika kuuawa mara tatu na watu wa Serikali."
2. "Mali zangu zenye thamani ya 10 bilioni yakiwemo Matrekta yaliteketezwa Shambani kwangu."
3. "Dereva wangu alihusishwa katika mauaji na nilipogundua nilimnyang'anya simu."
4. "Dada aliyetoa taarifa za...
Ni katika video clip ambayo inasambaa kwa kasi nchi nzima ktk mitandao ya kijamii instagram, twitter, Whatapp, facebook na Youtube ambapo Askofu huyo Mtumishi Wa Mungu anatanabaisha maajabu yanayotendeka ktk harakati za Lissu.
Nabii na mtume Mwingira anasema Mtu huyu ( Tundu) hajawahi kujenga...
Haya anayasema saa hii wakati anatoa mahubiri yake hapa kanisani.
Anadai ameonyeshwa serikali wamemtuma mtu aje hapa kanisani ku spy ndipo alipoanza wewe uliyetumwa ni mshenzi na mambo yako ni ya kishenzi sababu waliokutuma ni washenzi.
Haya ngoja nirudi kupata mahubiri nitarudi tena
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.