Kada maarufu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mdude Nyangali amesema nabii Musa alifanya mengi mazuri juu ya Taifa la Israel lakini baadaye Mungu akampunzisha ili ampishe nabii Joshua awaingize wana wa Israel nchi ya ahadi ya Kaanani
Mdude maarufu kama Mdude Chadema amesema Mbowe...
Joshua Mutale ni moja ya mawinga hatari sana hapa Africa, ni kiungo wa pembeni sio wa kawaida, ana uwezo wa kupiga chenga, anao uwezo wa kufunga mabao katika mazingira yoyote, anaweza kucheza pia kama kiungo wa kati.
Joshua Mutale ni kiungo msumbufu sana, anaweza kufanana na Steven Mapunda...
Amani ya Bwana iwe nanyi,
Amini Mungu yupo na kuna kitu ananena leo kupitia mikesha yao miwili, Mwamposa kawe, Clear Malissa Ubungo Riverside.
Nawasilisha.
Waliokuwa nyuma dhidi ya mauaji yenu wameanza kusambaratika. Wameanza kuonja mateso kama yale mliopitia.
Wapumbavu hawa👇 sasa hawapo na vibaraka wao pia wanaendeleo kudondoka.
Kufa kupo, lakin clemence na josh hamkustahili kuondoka katika mikono ya magaidi ambao wananuka damu za watu wasio na...
Bondia Anthony Joshua anatarajiwa kurudiana na Daniel Dubois baada ya sehemu ya Waratibu wa pambano lao la kwanza kudai kuwa wapo katika mazungumzo ya awali
AJ alipoteza pambalo lililopita katika Raundi ya 5 mbele ya Mashabiki 98,000 kwenye Uwanja wa Wembely
Joshua bado ana mkataba wa kupigana...
Kiufupi hakuna neno lingine la kusema kwa Mutale zaidi ya simba tumepigwa hakuna mchezaji hapo.
Tumemuondoa Saido tumeleta Saido namba mbili ( Mutale) mbovu zaidi ya mara 10 ya Saido namba 1.
Bora Ntibazonkiza alikuwa ana faida kwenye mipira iliyo kufa lakini Joshua Mutale hana faida yeyote...
Aman iwe nanyi wapendwa katika BWANA YESU
Kwanini waingileza ndo kama wameukamata huu mchezo wa ngumi
Ni baada ya hapo jana waingileza wawili kutwangana na mwingeleza mmoja kutwangwa kama Ngoma
Huyu Joshua kabla hajapigana nilimpa ushauli nili mfuata inbox huko Instagram nilimpenda sana...
Wachezaji wetu wanakuja wakiwa wameacha historia kwao, Simba iliwasajili kutokana na Ubora wao, lkn huwezi amini jamaa wakianza t kuitumikia Simba uwezo unaporomoka kidogo kidogo.
Joshua Mutale ni moja ya viungo hatar kabisa ukanda huu lkn ameanza taratibu kuonekana Saido aliyechangamka...
10 Julai 2024
Nairobi, Kenya
JOSHUA OKAYO KIONGOZI WA WANAFUNZI WA CHUO KIKUU KITIVO CHA SHERIA KWA UJASIRI, AWAANIKA WATEKAJI WAENDAO KWA JINA MAARUFU WATU WASIOJULIKANA
https://m.youtube.com/watch?v=TnbsQzSTxZo&pp=ygUPT2theW8gTlRWIEtlbnlh
Atekwa avikwa kitambaa usoni, ahojiwa wafadhili wa...
chapa
Bingwa wa zamani wa uzito wa juu, Anthony Joshua amefanikiwa kumpiga kwa Knock Out (K.O) Francis Ngannou bingwa wa zamani wa UFC wa uzito wa juu katika pambano lililofanyika Riyadh nchini Saudi Arabia.
Joshua alimwangusha Ngannou katika raundi ya kwanza ya mchezo na baadaye katika dakika...
Wengi wetu tunamkumbuka TB Joshua na huduma yake ya ki kanisa.
TB Joshua aliaminika na watu wengi sana Africa na duniani kama nabii wa Mungu.
Mimi kama mfatiliaji sana wa biblia, TB Joshua alikuwa nabii wa uongo. TB Joshua amechangia pakubwa sana kuharibu ufalme wa Mungu.
Biblia inasema wazi...
Documentary iliyoachiliwa na Shirika la habari Duniani (BBC) ikionesha mashahidi wanaoonesha maovu dhidi ya Mtumishi wa Mungu mwendazake T.B Joshua ni ishara tosha kuwa nguvu ya Imani na ukuaji wa kiroho Afrika ni tishio Kwa kikundi fulani cha watu kutekeleza ajenda zao.
Ukweli ni kwamba Afrika...
Mwamposa anadai waliotoa tuhuma kuhusu TB Joshua ni wale waliowahi kufukuzwa kwenye kanisa hilo. Kama wangetaka kujua ukweli wangefuata watoto wa TB Joshua.
Anaongeza kuwa, hata mtu atakayefukuzwa katika kanisa lake la Rise and Shine hawezi kusema mazuri kuhusu kanisa lake baada ya kufukuzwa...
BBC Wahini Tanzania mtupe ubuyu wa wanaojiita mitume na manabii wanao wabebesha watu maji, mafuta, vitambaa, sabuni na vyupi vya upako.
Naamini BBC kama chombo cha udaku cha kimataifa kitalifanyia kazi ombi hili na kutupa ubuyu
MUNGU ALIMTUMIA NABII T.B JOSHUA KAMA ALIVYOMTUMIA MTUME PAULO.
USHUHUDA WA MKE WANGU KUPONA COVID 19 BAADA YA KUMUOMBEA KWA KUTUMIA MEDIUM YA NEW ANNOINTING WATER YA TB JOSHUA.
Leo 22:30hrs 20/01/2021
Bwana Yesu atukuzwe ndugu zangu,Namshukuru Mungu kwa sababu ya neema yake kuu juu yangu na...
Wakati huu ambapo Shetani anajaribu kuingiza Agenda yake ya technologia ya kuingiziwa chip watu kwebye mapaji ya uso na mikononi (666) ili kufanya manunuzi kwanza anataka auchafue ukristo ambapo amemchafua Baba mkuwa wa imani ya Kinabii Prophet TB Joshua ili ukristo udharauliwe na kutukanwa...
Kampuni ya televisheni ya Afrika Kusini ya Multichoice Africa imetangaza kuwa itasitisha matangazo ya Emmanuel TV, kituo cha kidini inayomilikiwa na marehemu Nabii Temitope Babatunde Joshua, mwanzilishi wa Kanisa la Synagogue Church of All Nations, kuanzia Januari 17, 2024.
Uamuzi huo unafuatia...
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!.
Kama kuna jambo kwenye karne hii ya 21 linalowafanya Waafrika wafedheheke huko ulimwenguni basi ni haya mambo ya dini.Dini siyo tatizo ila tatizo ni Dini!.
Narudia tena " DINI SIYO TATIZO ILA TATIZO NI DINI"
Yawezekana members wenye akili nusu...
Ushahidi wa unyanyasaji ulionea na mateso kutoka kwa mwanzilishi wa mojawapo ya makanisa makubwa ya kiinjili ya Kikristo duniani umefichuliwa na BBC.
Makumi ya waumini wa zamani wa Kanisa la Synagogue Church of all Nations - watano Waingereza - wanadai ukatili, ikiwa ni pamoja na ubakaji na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.