Joshua Mutale ni moja ya mawinga hatari sana hapa Africa, ni kiungo wa pembeni sio wa kawaida, ana uwezo wa kupiga chenga, anao uwezo wa kufunga mabao katika mazingira yoyote, anaweza kucheza pia kama kiungo wa kati.
Joshua Mutale ni kiungo msumbufu sana, anaweza kufanana na Steven Mapunda...
Nyota wa Klabu ya Simba, Joshua Mutale, hatoshiriki kwenye mechi za kufuzu michuano ya AFCON 2025 ambazo Zambia itacheza kwenye tarehe za FIFA, Novemba 15 na 19.
Mutale, aliumia katika mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya KMC na alijumuishwa kwenye kikosi cha Chipolopolo, lakini taarifa zinathibitisha...
Kwa soka la kisasa Half-Space ni sehemu vital sana kwenye kutengeneza na kufunga magoli...
Bahati mbaya sana hizo sehemu ndo tuna Kibu na Mutale. Unaweza kufurahia hivyo vigoli vyao vya kubahatisha wanavyofunga ambavyo havina mfumo ila in a long run hawa jamaa ni mzigo tu kwa timu, sababu...
Wachezaji wetu wanakuja wakiwa wameacha historia kwao, Simba iliwasajili kutokana na Ubora wao, lkn huwezi amini jamaa wakianza t kuitumikia Simba uwezo unaporomoka kidogo kidogo.
Joshua Mutale ni moja ya viungo hatar kabisa ukanda huu lkn ameanza taratibu kuonekana Saido aliyechangamka...
Tokea mechi ya kwanza Mutale anacheza akiwa na jezi ya Simba dhidi ya APR ni wazi alionekana ni mbadala halisi wa SAIDO,,, yaani wanafanana kila kitu wanachokifanya uwanjani..
Akiwa na mpira analazimisha kukaa nao bila sababu za msingi wakati kuna nafasi za kuwapa wenzake.
Utakuta kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.