joto kali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Unapambanaje na hii hali ya joto kali?

    Joto ni Kali sana jijini Dar es Salaam na hata kwenye baadhi ya mikoa. AC unaweka hadi 16°c lakini inazidiwa na joto, nikafikiria labda imeisha gas, nimeleta mafundi waje wafanye service, wamesema gas IPO ya kutosha lakini bado inaelemewa. Wenzangu mnapambanaje na hili joto, naomba tupeane uzoefu.
  2. Ulimwengu unaungua. Jua linachoma sana siku hizi. Ni ghadhabu ya Mungu au ni onyo?

    Takwimu za hivi majuzi zinaonyesha joto limeongezeka sana kwa viwango vya kutisha, katika sehemu mbalimbali duniani. Here are some of the hottest recorded temperatures in 2024: Ouargla, Algeria – 51.3°C Basra, Iraq – 52.6°C Ahvaz, Iran – 53.0°C Kuwait City, Kuwait – 52.1°C Jacobabad, Pakistan –...
  3. Unakabilianaje na kipindi hiki cha joto na jua kali?

    Habarini wakuu Natumai kwema. Dah! Joto limezidi ni hatari. Inafikia mpaka unahisi ya harufu ya nyama choma kumbe ni wewe unachomwa jua! Unakabiliana vipi kuhimili msimu huu wa joto. Exception: Kwa wale mliopo sehemu zenye baridi na mvua.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…