joto la mwili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fahad Abdallah

    MSAADA: Mtoto wa miaka minne anachemka sana kwa siku tatu mfululizo. Hospitali alipimwa malaria, hana

    Habarini wakuu, poleni kwa majukumu. Huyu mtoto alianza kuchemka(joto kupanda sana) Jumamosi usiku wa Septemba 7. Jumapili tulimpeleka Zahanati akapimwa Malaria, hamna. Dokta akasema itakuwa ni mafua tu labda ndio inayopandisha joto. Tulipatiwa amoxylin, cetrizen na paracetamol. Ila joto...
Back
Top Bottom