Ndugu zangu, kuanzia mnamo tarehe 10 Desemba mpaka leo tarehe 15 Desemba 2024 sisi WANAUME wa DAR tumeishi kwa tabu sana na hali hii ya hewa.
Joto limekuwa kali sana na hali ya mawingu haijasaidia kulipoozesha.
Usiku wa kuamkia leo imenilazimu kujimwagia maji mara mbili zaidi baada ya kuamshwa...