joto na watoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. SI KWELI Watoto wachanga hawahisi joto

    Imezoeleka kuona watoto wachanga wakiwa wamefunikwa manguo mengi sana, hii sio shida iwapo hali ya hewa inaruhusu yaani ya ubaridi au ya kawaida. IIa kunaweza kuwa na hali ya joto kali watu wazima mnatamani kukaa kwenye feni ila mtoto mchanga bado kafunikwa mablanketi na kavishwa sweta, ukihoji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…