joyce banda

  1. Makonde plateu

    Tukumbushane ya Joyce Banda

    TUKUMBUSHANE Mwaka 2009, Bingu wa Mutharika, kama mgombea wa urais na Joyce Banda mgombea-mwenza, walishinda uchaguzi mkuu kupitia chama cha DPP. Mara baada ya kuanza majukumu yao, iliibuka minong’ono kwamba wawili hao walikuwa hawaivi chungu kimoja. Halafu, Mutharika akafa ghafla! Baada ya...
  2. A

    Mfahamu Rais Mstaafu Joyce Banda

    Joyce Hilda Banda, alizaliwa 1950. Huyu alikua Rais wa Malawi (April 2012-May 2014) msomi haswa alifurushwa kupitia sanduku la kura za Wananchi.
  3. Mdude_Nyagali

    Rais Samia anatumia mbinu zilizomuangusha Joyce Banda Malawi, na yeye anaweza kuanguka 2025

    Mwaka 2009 Joyce Hilda Banda alijikuta kwenye mshangao wa bahati baada ya kupendekezwa na Rais Bingu wa Mutharika kuwa makamu wa Rais nchini Malawi. Surprise ya namna hii pia ilimkuta Bi. Samia Suluhu Hassan baada ya kupendekezwa na chama chake CCM kuwa mgombea mwenza wa John Pombe Magufuli...
Back
Top Bottom