judith kapinga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Judith Kapinga: Kuunganisha umeme maeneo ya Vijiji Mji ni shilingi 320.960/-

    Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga kwa niaba ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema uunganishaji wa umeme kwenye maeneo ya Vijiji ni shilingi 27,000/- na maeneo ya Vijiji mji ni shilingi 320.960/-. Mhe. Kapinga ameyasema hayo leo Januari 30, 2024 bungeni...
  2. Waufukweni

    Judith Kapinga kutoa Kompyuta 139 Shule za msingi Wilaya ya Mbinga vijijini

    Naibu Waziri wa Nishati ambaye pia ni Mbunge wa Vijana Mkoa wa Ruvuma (CCM), Mhe.Judith Kapinga ameahidi kutoa kompyuta 139 katika Shule za Msingi 139 zilizopo Halmashauri ya wilaya ya Mbinga Vijijini ili kuchochea kasi ya ukuaji wa Elimu katika wilaya hiyo. Mhe. Kapinga ametoa ahadi hiyo...
  3. Mkalukungone mwamba

    Naibu Waziri wa Nishati Judith Kapinga: Kiasi cha umeme kimeongezeka katika gridi ya Taifa

    Mbona kama tunaendelea kupangwa sana tofauti na uhalisia. Ukiangalia umeme bado katika baadhi ya maeneo mengi sana umeme umekuwa wakukatika sana. Mfano mimi ninapokaa umeme siku mbili mfululizo unakatika asubhi unarudi jioni kama jana umekatika zaidi ya mara 4 ====================== Naibu...
  4. Roving Journalist

    Naibu Waziri Nishati, Judith Kapinga: Vijiji vyote Newala vimefikiwa na umeme

    Naibu Waziri Nishati, Judith Kapinga amesema Vijiji vyote 76 vya Jimbo la ya Newala Vijijini Mkoa wa Mtwara vimefikiwa na huduma ya umeme kwa umbali wa Kilometa 1. Kapinga ameyasema hayo leo Oktoba 29, 2024 bungeni jijini Dodoma wakati akijibu swali la Mhe. Maimuna Mtanda Mbunge wa Newala...
  5. Roving Journalist

    Judith Kapinga: Serikali inaendelea na majadiliano na Kampuni za Nishati za Kimataifa

    Naibu waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema Serikali inaendelea na majadiliano na Kampuni za Nishati za Kimataifa (International Energy Companies - IEC’s) kwa ajili ya utekelezaji wa Mradi wa Kuchakata na Kusindika Gesi asilia kuwa Kimiminika – LNG na yakikamilika Serikali itaupeleka kwenye...
  6. K

    Judith Kapinga amekagua banda la Wizara ya Nishati na Taasisi zake katika tamasha la KIZIMKAZI

    Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amekagua banda la Wizara ya Nishati na Taasisi zake katika tamasha la KIZIMKAZI linaloendelea Visiwani Zanzibar. Wizara ya Nishati inashiriki katika tamasha hilo kupitia Maonesho ambayo Wizara inatoa huduma moja kwa moja kwa wananchi kwa...
  7. Roving Journalist

    Judith Kapinga: Zaidi ya Tsh. Bilioni 80 zimetumika kusambaza umeme Vijijini mkoani Singida

    Naibu waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema kuwa zaidi ya shilingi bilioni 80 zimetumika kutekeleza miradi ya usambazaji umeme Vijijini Mkoani Singida na hivyo kuboresha huduma za kijamii na uchumi kwa wananchi vijijini. Kapinga amesema hayo mara baada ya kuwasha umeme katika Kijiji cha...
  8. Roving Journalist

    Naibu Waziri Nishati, Judith Kapinga asema "Nishati safi ya kupikia inabeba Ajenda ya Mazingira"

    Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga, amewataka wananchi wa Msomera kuhakikisha wanaibeba ajenda ya nishati safi ya kupikia kwa vitendo kuunga mkono jithada za serikali Ili kulinda mazingira na mabadiliko ya tabianchi. Kapinga ameyasema hayo katika Kijiji cha Msomera wilaya ya Handeni Mkoa...
Back
Top Bottom