Habari za weekend, Wakuu.
Husika na mada tajwa hapo juu, Waswahili wanasema kimfaacho mtu chake,
Ninauza iyo machine ya kukamulia Juice ya MIWA, ipo Tanga kwa Bei ya 850K,
Ipo katika hali nzuri inatumia umeme, na toka nimeinunua nimeitumia kwa mwezi mmoja Tu,
Karibu Sana.
Habari wan JF Natumai ni wazima,
Nilikua nahitaji mashine ya kukamulia juice ya umeme je naweza kupata wapi na kwa bei gani.
Naomba kwa mwenye kufahamu pia mwenye kujua connection ya miwa inakuwa naomba kufahamu.🙏
Kwema wazee, natafta kijana mzoefu wa biashara ya kuuza juice ya miwa awe na sifa zifuatazo
Chini ya Umri wa miaka 25
Awe mzoefu wa biashara ya juice ya miwa hasa eneo la Kariakoo na Mbagala
Awe na ujuzi wa kuifanyia service mashine
Awe ameshapoint eneo la kufanyia kazi lenye mzunguko mzuri ...
Wassalaam!
Moja kwa moja niende kwenye point ndugu zanguni, mashine ya juice yà miwa inahitajika
Location: Dar es salaam
Condition: used
Offer: 500k
Karibuni tufanye kazi
Habari ya mwaka mpya wakuu, mwaka wa 2022. nawatakia kila la heri yote, sasa natafuta machine ya kutengeneza juice ya miwa, machine mpya, ni wapi naweza inunua au ni wapi naweza enda kuangiza moja, nasikia hata VETA wanauda machine aa hizo, naomba ushauri wenu waku, natangulia shukrani zangu
Habari za leo.
Naomba ushauri, nataka kufanya biashara ya juice ya miwa. Ni hivi sitaifanya mimi nitamuweka kijana afanye. Kwahiyo naomba ushauri juu ya hii biashara ikiwa itaweza kunilipa maana nachukua hela ya mkopo.
Nikiwa na maana kwamba biashara nitakayofanya naitegemea inipe rejesho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.