jukumu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. RIGHT MARKER

    Wewe ni mzazi usisahau jukumu lako la kumlea na kumlinda mwanao

    MHADHARA (106)✍️ Hata kama una majukumu... 1. Mlinde mwanao katika kipindi cha mvua kali. Kamwe asicheze kwenye mitalo ya maji, mabwawa, mito, n.k. 2. Mlinde mwanao dhidi ya ukatili wa kijinsia. Mkague mara kwa mara na umpe elimu. 3. Mlinde mwanao dhidi ya makundi mabaya ya wavuta bangi, wezi...
  2. D

    Wakuu nisaidieni, hivi zamani pia jukumu la mwanaume lilikua pia kusaidia familia ya mkewe?

    Wakuu thread tajwa izingatiwe. Hata nikijaribu kujifariji, ila ukweli unasimamia kua, kuoa kunaongeza utegemezi Kwa mwanaume. Ili limepelekea wengi , hasa tunaotoka familia duni na uwezo wa kati kutopiga hatua mara baada ya kuoa. Kuna wimbi kubwa sana la kijana wa kiume kubebeshwa majukumu...
  3. Braza Kede

    Kwa wanandoa: nani ana jukumu la kufua nguo zenu za ndani?

    Huko kwenu mnafanyaje? na kwanini? (A) Kila mmoja anafua underwear yake (B) Hakuna formula maalum (C) Mume anafua ya kwake na ya mke (D) Mke anafua ya kwake na ya mume (E) Dada/kaka wa kazi
  4. ukwaju_wa_ kitambo

    Mwana FA ft. Professor Jay - Jukumu Letu

    MWANA FT. PROFESSOR JAY. SONG. JUKUMU LETU. VERSE. 1. (MWANA FA & PROFESOR JAY) Professor jay: Kilio la mgambo limelia kote nchini kwa wote Yaani mjini na vijijini/ Tanzania 🇹🇿 imegubikwa na wimbi la Umasikini /.. Mwana Fa: Jukumu la kila mmoja kuchangia tufanye nini? Professor jay: Serikali...
  5. A

    Jinsi wanaume walivyokwepa jukumu la msingi la kutongoza

    True story;
  6. Waufukweni

    Florent Ibenge amvuta kocha wa Tabora United, aliyewafunga Yanga na kumpa jukumu

    Wakati zikisalia saa chache kabla ya Yanga kushuka Uwanja wa Benjamin Mkapa kupambana na Al Hilal ya Sudan, kocha wa Waarabu hao Florent Ibenge amemvuta mjini kocha mmoja aliyewatibulia wenyeji wake. Ibenge amemuita jijini Dar es Salaam haraka kocha Anicet Kiazmak ambaye ni kocha wa Tabora...
  7. Lady Whistledown

    16 Days of Activism 2024: Ulinzi wa Wasichana na Wanawake dhidi ya Ukatili ni Jukumu letu sote, tuwalinde!

    Leo tunaanza rasmi Siku 16 za Kampeni Dhidi ya Ukatili wa Kijinsia, tukiungana na dunia kuendeleza harakati za kumaliza ukatili dhidi ya wanawake na wasichana. Kaulimbiu ya mwaka huu, ‘Towards Beijing +30: UNiTE to End Violence Against Women and Girls,’ inatukumbusha dhamira yetu ya kuendeleza...
  8. Dsm Installers Tech

    Ulinzi wa eneo lako ni jukumu lako, weka vifaa bora kwa matokeo bora

    Tunakuuzia,kufunga na kufanya matengenezo ya mifumo ya ulinzi kuhakikisha inafanya kazi kwa ufanisi zaidi. Kumbuka usalama wa eneo lako ni jukumu lako zaidi,funga vifaa bora saidizi vya ulinzi kwa matokeo bora. Tunahusika na ●Cctv camera aina zote [kasoro camera fiche hidden camera] ●Electric...
  9. G

    Kina mama wengi chanzo cha watoto kutowathamini kina baba, Hawatimizi jukumu lao la msingi kuwakumbusha watoto baba ni kiongozi na nahodha wa family

    Kama ilivyo kawaida, Watoto wengi wanakuwa upande wa mama kwajili ya huruma aliyoumbiwa kwa asili, Kitu hiki kimekuwa kikiwapa wanawake nguvu na influence kubwa sana juu ya watoto, Lakini wanasahau kwa maksudi kabisa jukumu lao muhimu la kuwakumbusha watoto "Muwe karibu yangu na mdeke mnavyotaka...
  10. G

    Watoto msiwasasahau baba zenu, mlideka kwa kwa mama lakini huruma sio malezi, Jukumu la baba kuwa kiongozi hapa Afrika sio jambo jepesi.

    Kids tend to lean on their mothers for many things emotionally which give mothers so much power and influence on the kids, kids completely foeget the family is under the leadership and direction of fathers Kwa maisha ya uhalisia yalivyo bongo baba inabidi awe na msimamo wa hali ya juu mno...
  11. mwanamwana

    Pre GE2025 Balozi Tinnes: Tuhakikishe tunakuwa viongozi katika nchi ambayo watu wanaamini kuna sbb ya kupiga kura kwa sababu sauti zao zinasikilizwa

    Balozi wa Norway Nchini Tone Tinnes, akizungumza kwenye Maadhimisho ya Siku ya Demokrasia Duniani yanayofanyika Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam amesema “Utafiti na masomo yanaonyesha kwamba hali ya demokrasia duniani inaporomoka. Ripoti ya Freedom House ya mwaka 2023 inaonyesha kwamba demokrasia...
  12. M

    Leo nimekutana na mwanamke aliyetaka kunibebesha jukumu lisilonihusu nimecheka sana

    Ebana mwaka 2023 mwez wa9 mwanzoni nilikutana na huyu single maza tukakubaliana kutimiziana haja zetu bila mkataba kwani tulitafutana mara tu tulipokuwa tunahitajiana. Sasa mwez wa9 mwishoni 2023 akaenda dar kufata mzigo ni mfanya biashara wa nguo za watoto. Kakaa kama wiki mbili hivi. Mwezi...
  13. Street brain

    Maisha yako ni jukumu lako

    Unajua kwamba ukifa, the moment watu wamemaliza tu kukufukia(kuzikwa) dakika chache sana mbele vilio vyote vitanyamaza na watu wataacha kulia, tena wengine watakuwa wanacheka na kupiga story za kawaida kuhusu maisha yao wakati wanarudi majumbani. Usifikirie Ndugu na familia yako wote watakaa tu...
  14. BROADCASTER GIDEON

    SoC04 Tanzania itasimama ni jukumu la kila mmoja wetu kuisimamisha Tanzania tuitakayo

    Tanzania ikiwa ni moja ya nchi za ukanda wa Afrika Mashariki, ni nchi ambayo imebarikiwa maliasili mbalimbali ikiwa ni pamoja na madini, mbuga za wanyama, Mistu, ardhi yenye rutuba ya kutosha, watu, maji ya kutosha na mimea ya asili pamoja na wanyama asilia wanaolipa sifa kubwa taifa letu. Kama...
  15. M

    SoC04 Katika kurahisisha huduma za jamii na maendeleo, serikali ichukue jukumu la kujenga minara ya mawasiliano maeneo yaliyoko mbali na miji (vijijini)

    Kutokana na umuhimu wa mawasiliano ya simu ya mkononi pamoja na internet iko haja kwa serikali kujenga miundombinu ya mawasiliano ya simu za mkononi na internet kwenye maeneo yote ambayo yako mbali na mijini ili kuyapunguzia mzigo wa gharama makampuni yanayotoa huduma za mawasiliano ambayo kwa...
  16. Mganguzi

    Kwa sasa jukumu la kusomesha watoto apewe mwanamke pekee, wanaume tunadharaulika sana watoto wakifikia kilele cha mafanikio

    Nimeona tabia hii imeshika Kasi sana ,akina mama au wazazi wenzetu wanatutambua kama wazazi pindi watoto wanapohitaji karo za shule na mahitaji yote! Wake zetu huwaambia watoto kupeleka mahitaji yao kwa baba ' iwe karo, mavazi, chakula, matibabu na kila kitu mhusika mkuu ni baba!! Lakini baadae...
  17. TODAYS

    HII NDIYO ROBOTI: Ilichukua Jukumu Muhimu Kutambua Mabaki ya Rais Raisi.

    Kwa waturuki wao wanasema ni hatua kubwa waliyofikia kwa mara ya kwanza katika historia ya dunia. AKINCI UAV ya Uturuki ilichukua jukumu muhimu katika kutambua mabaki ya helikopta ya Rais wa Iran Raisi. Ni operesheni ya utafutaji na uokoaji ilitangazwa moja kwa moja 'LIVE COVERAGE' kupitia...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    Mzazi jukumu lako ni kunifundisha jinsi ya kufanya maamuzi sahihi na sio unifanyie Maamuzi

    MZAZI JUKUMU LAKO NI KUNIFUNDISHA JINSI YA KUFANYA MAAMUZI SAHIHI NA SIO UNIFANYIE MAAMUZI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Wewe ni wewe. Mimi ni Mimi. NI kweli wewe ni mzazi na mimi ni mtoto. Lakini hiyo haimaanishi kuwa wewe ni Mimi. Utabaki kuwa mzazi lakini hautakuwa mimi na mimi sitakuja...
  19. Mto Songwe

    Vijana mmsiishie kuweka mimba tu una jukumu kwa kila kiumbe unacholeta duniani

    Kama unajiona huna uwezo wa malezi bora kwa kiumbe chako na hauna uwezo wa kukitengenezea kesho yake bora ni vyema kabisa usizae. Kufa mwenyewe na umasikini wako acha kuleta kiumbe uje ukipe mateso kwenye hii dunia ya hovyo. Umasikini ni mkubwa sana Africa ukiwa mtu wa field au kazi za mitaani...
  20. vvvv

    Mechi za CAF jukumu la ulinzi uwanjani nani anahusika? Simba ikanushe hizi tuhuma

    Naomba kufahamu,hii michezo ya CAF inayoendelea siku ya mechi jukumu la ulinzi ni la CAF,TFF au timu husika? Maana mechi ya Simba na Jwaneng Galaxy kile kilichofanyika kinashusha hadhi mpira wetu kwenye ramani ya Africa, kuna mtu alijitokeza upande wa Jwaneng alikuwa anafanya mambo ya kijadi...
Back
Top Bottom