jukumu la kijamii

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Sheriff

    Kuna Haja ya Mataifa Kuzidisha Mapambano Dhidi ya Usafirishaji Haramu wa Binadamu

    Hivi karibuni matukio ya usafirishaji haramu yameonekana kuzidi kushika kasi na kuibuka katika mazingira ambayo watu wengi wasingeweza kudhani. Makala ya hivi karibuni iliyorushwa na kituo cha televisheni cha BBC ilionesha jinsi baadhi ya watu wenye ulemavu wanavyorubuniwa na kupelekwa nchini...
  2. The Sheriff

    Ni Jukumu Letu Sote Kuhakikisha Wazee Wetu Wanaishi Maisha ya Furaha

    Kuzaliwa, utoto, ujana, utu uzima na uzee ni hatua za kawaida katika maisha ya mwanadamu. Hatua hizi zote zina raha na shida zake. Kila hatua fulani inapopita nguvu za kimwili hupungua na vilevile utulivu wa akili huzorota. Kwa kuwa umri unasonga, masuala mbalimbali ya kiafya hutokea. Baadhi ya...
Back
Top Bottom