jukwaa la focac

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Mkutano wa kilele wa FOCAC wafanyika Beijing

    Mkutano wa kilele wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika FOCAC umefunguliwa leo tarehe 5 hapa Beijing, ambapo rais Xi Jinping alitoa hotuba akitangaza kuinua uhusiano kati ya China na nchi zote za Afrika zenye uhusiano wa kibalozi kwenye ngazi ya kimkakati, na uhusiano kati ya China na...
  2. Gemini AI

    FOCAC: China yaahidi kuipa Afrika Tsh. Trilioni 139.39 ili kuimarisha Ushirikiano

    Serikali ya Rais Xi Jinping imeahidi kutoa takriban Dola za Marekani Bilioni 50 (zaidi ya Tsh. Trilioni 139.39) kwaajili ya kufadhili shughuli mbalimbali za Ushirikiano wake na Mataifa ya Afrika. Kupitia Mkutano wa Wakuu wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC), uliohusisha...
  3. Yoyo Zhou

    Kwanini vijana wa Afrika waichukulia China kama nchi yenye ushawishi chanya zaidi barani Afrika?

    Jopo la washauri bingwa la Afrika Kusini Ichikowitz Family Foundation hivi karibuni imetoa “Ripoti ya Uchunguzi wa Vijana wa Afrika (mwaka 2024)”, ambayo liliwahoji zaidi ya vijana 5,600 wenye umri wa miaka 18 hadi 24 katika nchi 16 za Afrika, ikiwa ni pamoja na Afrika Kusini, Ethiopia, Kenya na...
  4. L

    Je, ni kwa jinsi gani FOCAC inaweza kudumisha uhai wake kwa muda mrefu?

    Mkutano wa 2024 wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika FOCAC utafanyika Beijing kuanzia Septemba 4 hadi 6. Hii itakuwa ni mara ya nne kwa Baraza hilo kufanya mkutano wake kuwa wa kilele, ambapo China na Afrika zitapanga kwa pamoja mwelekeo wa maendeleo ya ushirikiano wa siku zijazo...
Back
Top Bottom