jukwaa la historia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Edgar Kyando 34

    SoC04 Story of change

    Serikali ni muhimili mkuu unao jitegemea katika katika nchi ambao upo kwa ajili kuongoza ,kutawala na kusaidia watu wake . Serikali inahusika katika kufanya kazi zifuatazo , Kukusanya mapato , kujenga miundombinu ( Barabara , shule , Hospitali , kutetea watu wake na Mali zao . Yafuatayo ni...
  2. Mohamed Said

    Mjadala wa Wachangiaji M1 JF Jukwaa la Historia 2013

    MJADALA WA WACHANGIAJI M1 JF Jukwaa la Historia 2013 Yericko Nyerere (pichani) miaka 11 iliyopita alifungua uzi JF kwa nia ya kupinga historia ya uhuru wa Tanganyika kama nilivyoieleza katika kitabu cha Abdul Sykes. Huu ukawa mjadala mkali, mrefu uliokwenda kwa miezi sita mfululizo bila ya...
  3. Asheryelly

    INAUZWA Viriba vinauzwa

    Kwa mahitaji ya polythene tube(Viriba) vya size kuanzia Inch 2.5 hadi Inch 15 vya Gauge(G) zote zinazohitajika kwa uotesheaji wa miti ya matunda, mbao, maua N.k kwa Tsh 4000/= tu kwa KILO 1 Karibu sana. Piga, 0787009807.
  4. GodstarTZ

    Kumbukumbu zangu: Majasusi wa KGB walivyowafanya magaidi wa Hezbollah waliowateka wanadiplomasia wao wanne

    Picha za video za hivi karibuni zilizokuwa zikionesha jinsi wanahabari wa kimarekani bwana James Foley pamoja na Steven sotloff wakikatwa vichwa na magaidi wa ISIS inanikumbusha stori ambayo ilitokea nchini Lebanon mnamo mwaka 1985. Mnamo mwezi wa tisa, tarehe 30, mwaka 1985, kundi la watu...
  5. GodstarTZ

    Kumbukumbu zangu: Jihad John mkataji vichwa wa Islamic State

    Moja ya stori zilizotokea miaka ya 2014-2015 ni ya kijana wa kiarabu raia wa Uingereza ambaye alikuja kuwa tishio la dunia baaada ya kujiunga na kikundi cha ugaidi kinachojulikana kama Islamic State. Kijana huyu alikuwa anajulikana kwa Jina la Jihad John, huku akiwa maarufu sana kwa kuonekana...
Back
Top Bottom