jukwaani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    Ni ushahidi wa wazi juu ya kuwepo kwa wizi na ubadhirifu mkubwa unaoendelea katika Taifa letu

    Shalom in advance wakuu. Ni ushahidi wa wazi juu ya kuwepo kwa wizi na ubadhirifu mkubwa unao endelea katika taifa letu, pesa za walipa Kodi maskini zina nufaisha watu wachache na familia zao. Kila taasisi hivi sasa inanuka wizi, Kisha tunabaki kulaumiana. Licha ya serikali kuweka Sheria...
  2. Tafadhali naomba leo Saa 3 Usiku tusipoteane hapa Jukwaani JamiiForums!

    Mlichotufanyia kwa Rafiki zenu wa Unafiki wale wa Mbagala hasa Kiushirikina) na Kimafia (Mchezo Mchafu) ndiyo nasi leo tumekifanya / tumelipiza hivyo hivyo. Hamtoamini kwa Kitakachowatokea.
  3. Ungependa kiongozi gani aje Jukwaani kutoa majibu na ufafanuzi wa masuala mbalimbali yanayoendelea nchini?

    Habari wadau, Jamiiforums imekuwa sehemu ya wanachama kushiriki kutoa maoni yao, kuelezea kero zao na kupata ufafanuzi juu ya masuala mbalimbali nchini, nafasi inayowawezesha kufanya maamuzi mkiwa na taarifa sahihi na zenye ubora. Wapo viongozi wachache kama Dkt. Gwajima D ambao wamekuwa...
  4. T

    Msiba wa Lowassa: Ney wa Mitego imekuaje hajarudi jukwaani kuimba na wenzake?

    Poleni kwa msiba. Naangalia shughuli ya msiba wa Lowassa, katika hizi nyimbo. Kundi ambalo Ney yupo liianza kuimba mara ya kwanza, ilipofika kipande cha Ney na yeye akiwepo wimbo ukasto-pishwa wakatoka Jukwaani. Wamekuja mara ya pili kipande chake kimepigwa ila Ney wa mitego hayupo jukwaani...
  5. S

    Kama Makonda ana uthubutu, ajaribu kumpigia Nape simu akiwa jukwaani

    Haitokaa itokee Makonda akampigia Nape simu kama anavyofanya kwa mawaziri wengine. Kwa bifu lililopo kati ya Nape na Makonda sitegemei kuliona hili likitokea. Makonda akiwa RC wa DSM aliwahi kutoa amri haramu ya kumtoa utumbo Nape kwa bastola pale Ubungo Plaza. Shukurani zimwendee Maulidi...
  6. Kwa jinsi baadhi ya watu walivyo kuwa slow hapa jukwaani, laiti kama ningefanya nao " kazi" enzi zangu za ushetani basi wengi wao wangekufa

    Miaka ya elfu 2 mwanzoni nilikuwaga jambazi. Section yangu ilikuwa udereva. Jukumu langu lilikuwa kuwaendesha " ma afande wangu " baada ya tukio. Kanuni yangu ilikuwa tukienda "kiwanja" ( eneo la tukio) kukiwasha, tukio likisha fanyika basi ndani ya dakika 2 baada ya tukio inatakiwa kila...
  7. Tangu Simba ipigwe 5G kuna members wamekimbia jukwaani. Hebu tuwataje ili watoke huko waliko

    GENTAMYCINE hebu jitokeze Huwezi jifungia ndani siku zote hizo na simu umezima. Toka nje ukafanye maisha, kuna maisha baada ya dakika 90.
  8. Kumbe Mzururo wetu wa Bombay ni Kutunukiwa PhD ili ije kutusaidia Kutamba nayo kwa 'Mazuzu' Jukwaani katika Kampeni ya 2025?

    Na ni matumaini yetu tutaitumia Ziara hii pia kuweza Kutibu tatizo letu Kubwa la Kifua na Upumuaji ikizingatiwa kuwa akina Panjuani na Samjo wa Bombay Kiasili ni Wataalam mno wa Kutibu Changamoto hiyo tofauti na kule Marekani na Canada ambako tulikuwa tukienda sana. Halafu awali tuliambiwa ni...
  9. Namna ya kupima IQ yako hapa jukwaani

    Chukua idadi ya 'likes' ugawanye na idadi ya ujumbe uliochangia kwenye hili jukwa, = (likes/ujumbe). Kama utapata zaidi ya 1, hiyo inatafsiri mchango wako hapa jukwaani unakubalika na wewe ni hazina, sio 'liability'. Ila kama katika kugawanya ukapata pungufu ya moja, hii ina maana michango...
  10. Rais wa Marekani Joe Biden aanguka jukwaani

    Leo Rais Biden wa USA ameanguka jukwaani wakati akisalimiana na Wahitimu wa chuo cha kijeshi cha Anga huko Colorado, chanzo cha kuanguka hakijulikani kama amejikwaa au ni umri mkubwa kiasi kwamba anapoteza balance. Mara baada ya kuanguka maafisa wa usalama wamemsaidia kuinuka fasta na kumpeleka...
  11. F

    Hatuwezi kuendelea kuendesha nchi kwa matamko ya jukwaani

    Mgogoro wa wafanyabiashara Kariakoo unatokana kwa kiasi flani na mazoea ya viongozi wetu kuendesha nchi kwa matamko ya jukwaani. Tangu lini tamko la kiongozi jukwaani likawa sheria? Jambo kubwa kama ukusanyaji wa kodi na msamaha wa kodi kwa miaka 3-5 linatamkwa tu jukwaani bila maandishi...
  12. Makosa ambayo watu wengi hufanya katika kujenga au kujibu hoja humu jukwaani

    Kupitia mijadala mingi humu jukwaani,nimegundua watu wengi hawajui kujadiliana na mara nyingi hoja zao huwa na makosa,kasoro au upotofu. Ni tofauti na mijadala ya Quora au reddit inavyoenda. Kasoro za kimantiki ni makosa yanayotokea wakati hoja au maelezo yanayotolewa hayafuati misingi ya...
  13. Rais Kikwete alipodondoka jukwaani mwaka 2005 na jinsi itifaki za Kiusalama zilivyobadilika

    Mwaka 2005 wakati Jakay Mrisho Kikwete akijinadi kuomba kura katika uchaguzi mkuu, siku ya kufunga kampeni alianguka pale Jangwani. Hii ikaleta mabadiliko makubwa ya kiulinzi katika korido za PSU. Kabla ya Kikwete, yaani kuanzia Nyerere, Mwinyi hadi Mkapa walikuwa wakisimama jukwaani...
  14. Mimi mgeni nipokeeni jukwaani

    Mimi mgeni nipokeeni jukwaani
  15. Nipo jukwaani leo nitoe senario Moja. Nitakuwa naleta updates

    Salam Sana kwenu. Nianze Kwa kifupi. Nimekuwa na Umri wa 40s na napendelea kula beer wkt wa weekend. Nikiwa bar Moja nilikwaruzana na Mtu mmj si mara moja. Kw kuwa ninamiliki chuma siku Moja nikaandika kwenye karatasi nikiwa ndani ya chumba Changu cha kujisomea nikiwa nimeshika chuma, wanaojua...
  16. Ukitaka kupima akili za Watanzania (Typical African minds) angalia nyuzi zinazotrend hapa jukwaani

    Sisi ngozi nyeusi tunaojielewa tupo wachache sana (mimi mmoja wao). Yani hapa jukwaani ikianzishwa mada ya kipuuzi (hasa inayohusu mapenzi) inarukiwa haraka sana na watu (wengi ni vichwa panzi, hasa wanawake). Na ili thread itembee vizuri utakuta wanaume (vichwa panzi na wanaopenda sifa kwa...
  17. T

    Mbowe asirudie kupanda jukwaani akiwa amelewa, atatuaibisha zaidi

    Hotuba ya Mbowe M/kiti wa Chama chetu, niliifuatilia mwanzo mwisho Mbowe, hana tabia ya kuongea vile isipokuwa juzi katika kuwahutubia wananchi wa Mwanza na wanachama wa Chadema, sauti iliyotumika kuhutubia si ile tumeizoea, Kwanza hotuba yake haikuwa na mpangilio, na mwenyewe pindi...
  18. Nilijifunza kupiga punyeto hapa jukwaani, glycerine ilitaka kuniua

    Nakumbuka mwaka 2010 ndiyo nilijiunga hapa, enzi hizo niko kidato cha tatu. Zama zile kulikuwa na jukwaa la wakubwa na ili ilitembelee ilikuwa ni lazima mods wakuunge. Basi nikaomba kuungwa, nikawa nashinda huko. Katika peruzi zangu nikakutana na uzi unafundisha namna ya kupiga puli kwa njia...
  19. Jamii Forums kwanini tusimwombe Profesa Shivji awe anatufundisha sheria kwa lugha ya Kiswahili hapa jukwaani?

    Najua Prof. Shivji ni mwalimu wa sheria hapo school of Law. Sina hakika kama huwa anapata muda wa kuielezea au kufundisha sheria kwa lugha ya kiswahili. Mimi kiukweli baada ya kutoa somo lake la sheria ya umiliki wa ardhi kwa lugha ya kiswahili nimejikuta nakua mpya kabisa kichwani kuliko...
  20. Hodi hodi mimi ni mgeni ninaomba munikaribishe humu jukwaani.

    Ninaitwa Rehema Chahe, ni mgeni humu ni matumaini yangu nitajifunza mengi kutoka kwenu na mtajifunza mengi kutoka kwangu, Baraka za Mungu ziwepo nanyi, asanteni.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…