julai 2021

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stuxnet

    CHADEMA Someni Tena Thread Yangu ya Julai 2021; Sitisha Maandamano ya 23/09, Mnakosea Sana

    Hata kama wana sababu 1,000 za kuandamana wasitishe tu. Huu siyo wakati mwafaka wa kuandamana. Maandamano yapo kwenye JF na Twitter tu, ila mitaani watu wana mishe zao. Narudisha ushauri wangu wa Julai 2021, anagalieni mnapokosea...
  2. Roving Journalist

    TRA imekusanya Trilioni 11.11 kuanzia Julai hadi Desemba 2021 na trilioni 2.51 Desemba 2021 pekee

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imekusanya TZS trilioni 2.51 Desemba 2021, kikiwa ni kiwango cha juu zaidi kuwahi kufikiwa tangu kuanzishwa mamlaka hiyo mwaka 1996. Aidha, Julai - Desemba 2021, TRA imekusanya TZS trilioni 11.11, sawa 98% ya lengo la TZS trilioni 11.302.
  3. Informer

    Hati ya Mashtaka dhidi ya Freeman Mbowe iliyotumiwa Julai 26, 2021

  4. Mwamuzi wa Tanzania

    Tunaosubiria mshahara wa Julai 2021 kwa hamu tukutane hapa.

    Mada juu yajieleza. Tukutane hapa kwa updates zaidi. Mimi nitaangalia salio kila baada ya dakika 30, ikitiki tawajuza, ila huko nmb wakiwahi mtujuze pia.
  5. Yoda

    Bei ya mafuta ghafi ya petroli Julai 2021 yazidi kupaa duniani

    Pipa la mafuta ghafi ya petroli duniani limepanda kwa kiwango cha juu kabisa katika kipindi cha miaka 3 toka mwaka 2018 hadi kufikia $75 leo 2021 hii ikilinganishwa na $65 mwaka 2018. Inategemewa bei kuendelea kupanda hadi kufikia $85 kwa pipa. Hii ni habari mbaya kwa uchumi wa mataifa maskini...
Back
Top Bottom