Julayi (transl. Vagabond) is a 2012 Indian Telugu-language action comedy film written and directed by Trivikram Srinivas, and produced by S. Radha Krishna under Haarika & Hassine Creations banner. The film stars Allu Arjun, Ileana D'Cruz, Sonu Sood, and Rajendra Prasad. The soundtrack was composed by Devi Sri Prasad, with cinematography handled by Chota K. Naidu and his brother Shyam K. Naidu, and editing done by Prawin Pudi.
The film was released worldwide on 9 August 2012 to positive reviews, and was commercially successful. The film has garnered the Nandi Award for Best Popular Feature Film. It was remade into Tamil titled as Saagasam.
Mamia ya Watoto wamefariki Dunia katika Vituo vya Lishe Nchini Somalia kuanzia Januari hadi Julai 2022 na idadi inaweza kuongezeka kutokana na mazingira ya lishe kutokuwa mazuri.
Takwimu za Shirika la Umoja wa Mataifa Linaloshughulikia Watoto na Wanawake (UNICEF) zimeeleza hivyo ikiwa ni baada...
MASHUJAA WA TANU WATANO DODOMA MWAKA WA 1955: TUNAWAKUMBUKA SIKU YA MASHUJAA DODOMA 2022
Siku chache zilizopita nilipokea picha hiyo hapo chini ya kwanza kutoka Maktaba ya Ally Sykes.
Picha hii nilikuwanayo kwa miaka mingi lakini ubora wake ulikuwa hafifu.
Nilipoipata picha hii yenye ubora wa...
Nimekutana na Mwalimu mmoja mida hii akienda Benki kucheki salio.
Ama kweli kuna watumishi mshahara ni zaidi ya roho zao. Unaachaje kufundisha ili unyatie mshahara ambao taarifa zisizo rasmi ni hadi Jumatatu ya wiki ijayo?
“Nchini Japani kuuawa kwa mwanasiasa maarufu [Shinzo Abe aliyekuwa Waziri Mkuu hapo awali] kulileta mshtuko ndani ya nchi hiyo na ulimwenguni pote, hasa kwa sababu nchi hiyo ina kiwango kidogo tu cha uhalifu na pia ina sheria kali zinazodhibiti matumizi ya bunduki.”—Julai 10, 2022.
“Kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.