Julia Sebutinde aliye mzaliwa wa Uganda alikuwa Jaji pekee katika jopo la Wanachama 17 wa Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) kupiga kura dhidi ya hatua zote 6 zilizopitishwa na mahakama ya ICJ katika kesi iliyofunguliwa na Afrika Kusini, ambapo Israel iliamriwa ichukue hatua za haraka kuzuia...