Julian Assange
Mwanzilishi wa Wikileaks, Julian Assange, anatarajiwa kufika mahakamani Marekani siku ya Jumatano, ambapo atakamilisha makubaliano ya ombi na kuachiliwa huru baada ya vita ya kisheria ya miaka 14.
Bwana Assange anatarajiwa kuwasili katika Visiwa vya Mariana ya Kaskazini, eneo la...