Kwa maoni yako ya kutaka Wakili Nkuba akubali kushindwa kwenye uchahuzi wa Rais wa Tanganyika Law Society (TLS) ulifiofikia tamati siku ya jana, jiandae kutenguliwa nafasi yako wakati wowote kuanzia sasa.
Madaraka ya kuhudumu at the pleasure of someone else, yanakupa kila kitu isipokuwa uhuru...
Uchambuzi Mahsusi wa Julius S. Mtatiro (Wakili) na Ally M. Kileo (Wakili) kuhusu Uchaguzi wa TLS
Watanzania na mawakili tumesikiliza na kufuatilia kwa kina, mjadala wa wazi uliorushwa na Star TV siku ya Jumamosi 27 Julai, 2024 ukiwahusisha mawakili mbalimbali waliopendekezwa kuwania nafasi ya...
MTATIRO ALIFUNGA KANISA LINALOKATAZA KINA MAMA WASIENDE KUJIFUNGULIA KLINIKI
Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Wakili Julius Mtatiro, amelifunga kanisa la CHURCH OF GOD lililoko kijiji cha Mendo, Tarafa ya Itwangi, Wilaya ya Shinyanga ili kupisha uchunguzi maalum.
Akiambatana na Kamati ya Usalama...
MTATIRO ABOMOA KARAVATI LILILOCHAKACHULIWA
Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Wakili Julius Mtatiro amesimamia ubomoaji wa karavati moja kati ya sita, lililokuwa linaendelea kujengwa, katika mradi wa shilingi 111,822,000 (Mil. 111) wa barabara ya kilomita 5 wa Lyabusalu Mwajiji - Halmashauri ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.