2025 mambo yamekua mengi sana, haya tukumbushane.
Naanza:
Tafuta hela nyingine zote ni stori tu.
Acha roho mbaya, chochote kibaya utakachofanya kwa mwingine kitakurudia.
Usikimbie wanao na majukumu ya malezi kisa umegombana na mzazi mwenzako.
Usiendekeze ulevi (pombe, mihadarati, ngono...