juma

  1. OKW BOBAN SUNZU

    Laana ya Juma Mgunda imemtafuna Ally Kamwe

    Kuna tetesi kwamba Kamwe amepigwa ban ya miaka miwili. Nakubaliana na ban na yeyote anayeketa ujinga ujinga unaofanana na huyo apigwe na kitu kizito. Niwakumbushe tu huyu bwana mdogo aliwahi kumdhalilisha Juma Mgunda. Akasema kati ya Mgunda na Andazi, yeye anachagua andazi. Viongozi wa timu...
  2. Hypersonic WMD

    Marioo anajisikiaje 'mkewe' kushikana hivi na Juma Lokole kama mke na mume?

    Mbaya zaidi kashona had sale na Lokole
  3. Teko Modise

    Juma Ayo: Refa wa mechi ya Namungo dhidi ya Simba apewe Derby ya Kariakoo, anajua kutafsiri vyema sheria za soka

    “Refa wa leo apewe derby nimependa namna ambavyo ametafsiri sheria ya mpira, Simba penalty zote 3 ni clear kabisa hakuna doubt hata kidogo. Huu mpira tunaucheza na tunaujua lazima tuwe wakweli Kudos kwa mwamuzi...hajaangalia idadi ya penalty anazotoa ameangalia zaidi matukio” Hayo ni maneno...
  4. OKW BOBAN SUNZU

    Lyrics: Inaniuma sana by Juma Nature Kiroboto

    Lyrics Siku ya kwanza kukutana naye alikuja kwetu usiku, alikuta nimechoka nimetoka ku record usiku, walikua kama wanne hivi ndani ya gari aina ya chaser, wamejaa hangover utazani jana yake walikesha, akaja mshikaji wangu mmoja, kutoka kwenye lilelile gari akaja moja kwa moja, mpaka kwenye...
  5. Mwachiluwi

    Juma Lokole vs Stan Bakola wazichapa leo

    Jioni hii kumetokea ngumi kati ya Juma Lokole na Stan Bakola chanzo cha ugomvi ni juma kwenda kupinga kuwa kajala hawawezi rudiana na Harmonize huku Stan Bakola akipigania kajala kukubali msamaha wa Hamronize ili warudiane Juma alienda na bango lilosema kajala hataki shobo ndipo ugomvi...
  6. mdukuzi

    Juma Abdul Mnyamani umecheza mpira muda mrefu lakini hujui kuuchambua,Azam TV mtoeni huyo mtu

    Sio kila aliyewahi kucheza mpira anafaa kuwa kocha Si kila aliyewahi kucheza mpira anafaa kuwa mchambuzi Amri Kiemba na Ally Mayai mko vizuri,ila kwaJumaAbdul Mnyamani nasema No,anashindwa hata na akina Samwel, Jeff Lea ambao hawajui kupiga hata danadana mbili
  7. Roving Journalist

    LGE2024 Juma Duni Haji: Serikali ya Mtaa ndio Ufalme wenu, pigeni kura

    Mwenyekiti Mstaafu wa ACT Wazalendo, Juma Duni Haji akiwanadi wagombea wa ACT Wazalendo wa Mitaa ya Mwinyimkuu na Idrisa katika mkutano uliofanyika Mtaa wa Mwinyimkuu Kata ya Mzimuni Jimbo la Kinondoni, Novemba 22, 2024, amesema: "Sasa nyinyi mumeachiwa mitaa miwili. Itakuwa miujiza mitaa hii...
  8. Mwl.RCT

    Mike Tee ft. Juma Nature - Nampenda Nani

  9. F

    Juma Mgunda yuko wapi?

    Kwenye benchi la Namungo yupo ngawina ngawina, kocha mgunda hayupo. Kuna nini, si alitajwa kuwa ndiye Kocha Mkuu wa Namungo?
  10. J

    Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Riziki Pembe Juma atembelea JamiiForums

    DAR: Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, (Zanzibar) Riziki Pembe Juma ametembelea Ofisi za JamiiForums jijini Dar, leo Oktoba 28, 2024. Ziara yake ililenga kujenga mashirikiano katika maeneo anuai ikiwemo kuwalinda na kuwajengea uwezo Watoto na Wazazi wao hasa katika...
  11. M

    SIKUMBUKI NI LINI TIMU YOYOTE IKIFUNDISHWA NA JUMA MGUNDA ILIWAI KUMFUNGA SIMBA!

    Kocha uyu kwa miaka yote aliyokaa coastal union ajawai kupata ata sare mbele ya Simba, lakini akikutana na timu nyingine unaona anapata matokeo! Uyu jamaa uwa ni mwanachama mwaminifu wa Simba anawasaidia sana kupata point kwenye timu yoyote anayoifundisha, aiwezekani Kila mechi ukose mbinu...
  12. sinza pazuri

    Jay Combat ndie mrithi wa Juma Mpogo au tusubiri mwingine?

    Namuona sana kijana mmoja mtandaon anaitwa jay Combat. Anajua kuimba nyimbo za uswazi almaaurufu mnanda au mchiriku au vanga. Kiukweli toka atutoke duniani Juma Mpogo GOAT wa mnanda bado pengo lake alijawai kuzibwa. Walikuwa wengi kabla ya General Mpogo na wakaja wengi baada yake ila bado...
  13. M

    Mzee Juma katueleza kisa alivyotapeliwa na wanawake huko Facebook

    Hapa hua tunakutana kwenye tangawizi na kahawa Mzee juma kafika na kanzu yake swafi na baraghashia yake kama kawaida, Mzee juma siku hizi ana simu ya kupangusa vidole hivo anakua busy kwenye simu , sio kama zamani alipokua anatumia kitochi, Hussein anamuuliza kiutani mzee J naona unaperuzi...
  14. Waufukweni

    Isemavyo Sheria ya Mali za Ndoa na Kesi ya Kifo cha Juma Mfaume dhidi ya Wafanyakazi wa OYA Microcredit

    Kufuatia kifo cha kusikitisha cha Juma Said Mfaume, mkazi wa Mbagala Mlandizi, familia yake/mke anaweza kufungua kesi ya fidia dhidi ya wafanyakazi wa Kampuni ya OYA Microcredit. Juma, ambaye alikuwa mume wa Khadija, alifariki baada ya kupigwa na watu wanaodaiwa kuwa wafanyakazi wa kampuni hiyo...
  15. uhurumoja

    Juma Said Mfaume: Je, tumpe Tuzo ya Man of The Year!?

    Habari wadau je jukwaa la wanaume na wanawake tumtangaze huyu jamaa ambae amekufa akimtetea mke wake dhidi ya wadai wake kama man of the year!? Maana si kawaida huenda mwingine angekimbia na kuacha "matatizo"kwa mke wake lakini yeye aliamua kuwavaa oya na kuwasababishia "matatizo" Zamani kabisa...
  16. Waufukweni

    Mke wa Juma aliyepigwa na Wafanyakazi wa 'OYA' aeleza alivyokopa

    Juma Said Mfaume, mkazi wa Mbagala Mlandizi, Pwani, amefariki dunia baada ya kupigwa na watu wanaodaiwa kuwa wafanyakazi wa Kampuni ya OYA Microcredit. Tukio hilo lilitokea alfajiri ya Jumanne, tarehe 8 Oktoba 2024, wakati wafanyakazi hao walipofika nyumbani kwake kudai marejesho ya mkopo wa Tsh...
  17. chiembe

    Sheria imzuie professa Juma kujenga ufisadi wa kitaasisi anaotaka kuujenga katika Mahakama

    Nimeshtushwa na kauli aliyotoa Prof Juma kwamba amepiga marufuku taasisi na viongozi wa nchi kuwapa ajira mahakimu na watumishi wa mahakama nje ya mahakama. Hii ni kauli ya hovyo kabisa aliitoa wakati akiapisha mahakimu 22 jana. Huyu Profesa ni zao la jalalani, asili yake sio Mahakama...
  18. Mturutumbi255

    Moyo Wangu Ulivunjika: Safari ya Juma na Amina Katika Mapenzi na Maumivu

    Katika kijiji kidogo cha Mlimani, alikuwapo kijana aitwaye Juma. Alikuwa na ndoto kubwa za kuja kuwa msanii maarufu wa muziki. Alipokuwa shuleni, alikuwa akiimba nyimbo za mapenzi na za kijamii kwa marafiki zake na walimu wake. Kipaji chake kilikuwa cha kipekee, na kila mtu alimpongeza kwa sauti...
  19. chiembe

    Unataka kujua haki inatukanajwe? Tembelea viunga vya Mahakama za Prof Juma, kesi ya Yanga dhidi ya Magoma haina namba na imeshaamuliwa!

    Hii ndio inaitwa "mockery of justice" Yanga wamepeleka kesi Mahakamani 17/7/2024, hakuna hati za wito kwenda kwa Magoma na wenzake ili waitwe, wasikilizwe, leo 19/7/2024 Hakimu, tena wa level ya Principal Resident Magistrate, katoa uamuzi, yaani imechukua chini ya saa 24. Hajamuita mshitakiwa...
  20. Mpigania uhuru wa pili

    Juma Magoma anataka akabidhiwe uongozi wa Yanga SC na asimamie assets zote za timu

    Kwenye hukumu ya magoma yameongelewa mengi ila katika jambo ambalo limenichekesha ni yeye kutaka kukabidhiwa timu na account zote za timu ziwe chini yake kirahis kirahis swala la mtu kutaka kupewa timu kirahsis rahis hiki ni kituko na ni ujumbe kwamba tuliowengi tunapenda short cut na kudandia...
Back
Top Bottom