Juma Duni Haji (born 26 November 1950) is a Tanzanian politician and former civil servant. He is the deputy chairperson of ACT Wazalendo. He previously served as the Deputy Chairman of the Civic United Front from 2014 to 2015.He was selected as the running mate of Edward Lowassa, the CHADEMA presidential candidate for the 2015 election, which necessitated his defection.
"Mimi ninasema mnadharau kwasababu mmekata tamaa, mnahisi mambo ni yaleyale...aah! ndiyo hivyo bana, CCM watachukua kwa nguvu; hawezi kuchukua kwa nguvu, wakichukua kwa nguvu maana yake mmewaachia, vijana mjiandae, mkipiga kura, mkishinda kataeni kunyang'anywa".
Mwenyekiti mstaafu wa chama cha...
Mwenyekiti Mstaafu wa ACT Wazalendo, Juma Duni Haji akiwanadi wagombea wa ACT Wazalendo wa Mitaa ya Mwinyimkuu na Idrisa katika mkutano uliofanyika Mtaa wa Mwinyimkuu Kata ya Mzimuni Jimbo la Kinondoni, Novemba 22, 2024, amesema:
"Sasa nyinyi mumeachiwa mitaa miwili. Itakuwa miujiza mitaa hii...
Mwenyekiti mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo, Juma Duni Haji maarufu kama Babu Duni amewataka wananchi wa Mtaa wa mtaa wa Tupendane, kata ya Manzese katika jimbo la Ubungo kuondokana na uoga ambao unakwamisha jitihada za kuleta maendeleo katika mtaa wao.
Babu Duni ametoa wito huo Novemba 20...
JUMA DUNI HAJI
Nilikutana na Juma Duni Haji kwa mara ya kwanza chumbani kwa Maalim Seif Starlight Hotel mwaka wa 1995 CUF ikiwa katika harakati za Uchaguzi Mkuu wa kwanza baada ya kurejeshwa vyama vingi.
Juma Duni alikuwa ndiyo kawasili kutoka masomoni Uingereza na kaja moja kwa moja akitokea...
Mwenyekiti wa Chama cha ACT – Wazalendo, Juma Duni Haji maarufu kama Babu Duni amejiondoa kwenye kinyang’anyiro cha uenyekiti ACT – Wazalendo na kumuunga mkono makamu wake, Othman Masoud Othman.
Babu Duni amejiondoa kutetea nafasi hiyo aliyokuwa akihudumu kabla ya muda wake kuisha leo Jumatatu...
Hii ni Taarifa ya kikakamavu aliyoitoa alipohojiwa na MwanaHalisi Digital , ikiwa ni sehemu ya Maombolezo ya Kifo cha Edward Lowassa aliyekuwa Mgombea Urais wa UKAWA
=======
Kwenye jambo hili mengi yamesemwa ikiwemo ofisi moja iliyokuwa Masaki ikiongozwa na watu watatu (majina yanahifadhiwa kwa...
Marehemu Maalim Seif Sharif Hamad alikuwa kiongozi wa siasa na mapambano ya kisiasa ya kambi ya upinzani Tanzania, ambae alijaaliwa ushawishi mkubwa zaidi kwa upande wa Zanzibar tokea miaka ya 1988 alipofukuzwa katika Chama Cha Mapinduzi na serikali hadi pale umauti ulipomfika, mwezi Februari...
Mwenyekiti wa ACT Wazalendo mzee Juma Duni Haji amesema mzee Mandela alisema hakuna fursa nzuri ya kisiasa kama ile ya kukaa na mpinzani wako na kumueleza ukweli huku unamuangalia machoni.
Hivyo hao wanaopayuka kuwa ACT Wazalendo ni CCM B hawatusumbui kwani Chadema walipoomba maridhiano na...
MWENYEKITI WA TAIFA ACT WAZALENDO JUMA ‘’BABU’’ DUNI HAJI: NINAVYOMKUMBUKA
Kuna kitu katika haiba nzima ya wanasiasa walio katika upinzani Zanzibar ambacho ni tabu kukieleza kwa maneno haya yetu ya kawaida.
Kuna picha kila nikiiangalia machozi yananilenga.
Ismail Jussa yuko kwenye...
Juma Duni Haji amesema akipata nafasi yoyote ya kumuwezesha Freeman Mbowe kutoka mahabusu na kuungana na familia yake, ataitumia bila kujali kama atatukanwa ama lah.
Amesema serikali haijawahi kukiri kukosea, na wanaotaka aendelee kukaa mahabusu wako Ulaya wakila kuku na
viyoyozi.
Mzee wetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.