Hayawi hayawi sasa yamekuwa rekodi nyingine imeandikwa.
Sasa Jux anaingia kwenda orodha ya wasanii waliofikisha views million 100.
Hongera sana brotherman Juma Mkambala kwa hakika enjoy ndio wimbo bora wa mwaka 2023.
Huu wimbo umetumika kuburudisha watu wengi kwenye mwaka 2023.
Staa wa muziki, Jux, amerudi bongo usiku wa kuamkia leo, Septemba 5, akitua kwenye Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Nyerere akiwa na mpenzi wake Priscilla Ajoke, mtoto wa mwigizaji mkongwe Iyabo Ojo kutoka Nigeria.
Hivi karibuni, wawili hao walikuwa Nigeria wakijirusha kwenye party ya...
Tumalize huu ubishi ulioenea mtandaoni. Je, kati ya malkia wa bongo fleva Shilole a.k.a Shishi baby na msanii chipukizi (underground) anayeheshimika Juma Jux nani mkali zaidi?
Kwa wale wasiofahamu nyimbo zao nimewaandikia ili mkazisikilize huko YouTube.
SHILOLE
1. Lawama
2. Nakomaa na jiji
3...
Niko na ujuzi wa kutengeneza sabuni Aina tatu nazo ni sabuni za miche, sabuni za maji, sabuni za unga, pamoja na mufata ya mgando na lotion tofauti tofauti. Ila mpaka sasa nimebaki na ujuzi mtaji sina hivyo naomba kwa mwenye kuvutiwa na hili njoo tufanye biashara
Exclusive kabisa Vanessa Mdee na Rotimi wapata mtoto wa kiume baada ya kuficha kwa miezi mingi.
===
Staa Vanessa Mdee na mchumba wake, Rotimi kupitia mitandao ya kijamii wa Instagram wameposti ujumbe unaoshiria kuwa wanatarajia kupata kupata mtoto wa kiume hivi karibuni.
Hayo yamebainika...
Baada ya Rotimi kuchafua hali ya hewa huko Insta hatimaye dua za Jux zimekua dua za Kuku, kiukweli wengi hawakutaraji na hata Jux mwenyewe alijua dada yetu anafanyiwa window shopping tu nakuachwa kimasihara ... hatimae limepumzishwa jiwe la magram yakutosha kwenye kidole cha dada yetu , na hii...
Vanessa aweka wazi na sio Siri tena kuhusu uhusiano wake mpya na jaji mwenzake Rotimi aliyekuwa nae kwenye mashindano ya East Africa got talent kwa kusema
Ameamua kuweka wazi japo Ni Siri lakini Juma Jux hakushitushwa kwani anasema walibreak up tangu Disemba 2018 na wala hakushangazwa bali...