JUMA KASEJA: KILA KITU DIARRA ANACHOFANYA MIMI NILISHAKIFANYA ENZI ZANGU.
Nyota wa zamani wa klabu ya Simba Juma Kaseja ameweka wazi kuwa ubora anaouonyesha nyota wa klabu ya Yanga Djigui Diarra, yeye aliwahi kuuonesha mapema.
"Diarra ni golikipa mzuri sana.Vitu ambavyo anafanya ndani ya...