Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam imetupilia mbali rufaa ya Juma Ally Magoma na mwenzake Geofrey Mwaipopo waliyokuwa wameikata dhidi ya Bodi ya Wadhamini wa Klabu ya Dar es Salaam, Young African Sports, maarufu kama Yanga.
Uamuzi huo umetolewa leo Jumatatu, Septemba 9, 2024 na Naibu wa...
Juma Ally Magoma na Geofrey Mwaipopo wamekamatwa na Jeshi la Polisi kwa kosa lilofunguliwa na mwanasheria wa Klabu ya Yanga Simon Patrick ambapo walidaiwa kughushi saini za wadhamini wa Yanga.
Wakili upande wa Magoma na Mwaipopo, Jacob Masenene, amesema kosa walilokamatwa nalo linadhaminika na...
Salam!
Moja kwa moja napenda kumpongeza Mzee Juma Magoma kwa ushujaa wake wa kusimama mbele ya utawala wa Farao wenye lengo la kupora hazina ya wanachama wa Yanga. Inahitaji utulize kichwa kuelewa hoja za mzee wetu Magoma dhidi ya utawala wa Farao na mhabeshi.
Ni wazi kwa kizazi hiki cha yanga...
Kwenye hukumu ya magoma yameongelewa mengi ila katika jambo ambalo limenichekesha ni yeye kutaka kukabidhiwa timu na account zote za timu ziwe chini yake kirahis kirahis
swala la mtu kutaka kupewa timu kirahsis rahis hiki ni kituko na ni ujumbe kwamba tuliowengi tunapenda short cut na kudandia...
Kuna upuuzi mwingine ni wa viwango vya lami, mahakama pamoja na weledi wake ilishindwa kunusa hali yoyote ya uhuni kwa awa wakina magoma na mwenzake? Wajumbe wa Baraza la wadhamini aliowashtaki magoma kipindi kile ni watu maarufu na wanajulikana ata makazi yao walipo na ata ofisi zao...
Kauli iliyotolewa na afisa habari wa Yanga bw Ally Kamwe kwa kuwaita wa ovyo watu waliotinga mahakamani kupinga uhalali wa uongozi wa Yanga na kupewa ushindi ni kuidharau Mahakama iliyotoa hukumu na kuwapa ushindi watu hao baada ya kusikiliza madai yao na kuona yana mashiko.
Nadhani ule muda...
“Siwezi kuelewa mahakama inafanya kazi gani, kwa sababu mimi ndio mstahili wa kupewa hukumu. Hizi ni propaganda. Mimi bado Eng. Hersi ni kiongozi wangu pamoja na bodi yake. Lakini kama itatokea jambo lingine lolote kupitia kwangu, mimi mwenyewe nitaita vyombo vya habari nitaongea navyo. Lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.