Lyrics
Siku ya kwanza kukutana naye alikuja kwetu usiku,
alikuta nimechoka nimetoka ku record usiku,
walikua kama wanne hivi ndani ya gari aina ya chaser,
wamejaa hangover utazani jana yake walikesha,
akaja mshikaji wangu mmoja, kutoka kwenye lilelile gari akaja moja kwa moja, mpaka kwenye...