Walihisi anachekesha katika hoja zake na michango yake bungeni lakini, alikuwa anaona huruma kwa vijana wa taifa hili kuhitimu vyuo na kupewa makaratasi ambayo kwa ujumla na ulimwengu wa sasa havina nafasi bali kazi za mikono ndio suluhisho la maisha ya sasa.
Sijui kama Leo alialikwa kwenye...
Naungana na Kishimba, Bora kuchangia gharama za dawa, vifaa tiba kuliko hii wanaita consultation fee, huu ni wizi sawa na Kulipishwa unapoingia stendi kukata Tiketi.
Hongera Kishimba Kwa hoja murua, unawashinda Hadi wanaojiita Wapinzani hawana hata kitu wanachoweza kusimama nacho Kwa Wananchi...
Mbunge Jumanne Kishimba, ambaye ni mjumbe wa Kamati ya Elimu ya Juu, ametoa maoni yake Bungeni kuhusu hali ya mikopo ya elimu nchini. Maoni hayo yalikuja baada ya Bodi ya Mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu (HESLB) kudai kushindwa kupata marejesho kutoka kwa waliokopa mikopo ya elimu na...
Huyu mbunge wa Kahama Kiukweli ndio mbunge anaejua kujenga hoja na kila akiongea anatoa vitu ambavyo vinafikirisha na vinajijenga mpaka unajiuliza vipi wale wataalamu hawakuliona Hilo au hawakuweza kujipa muda wa kulifikiria?
Kwa wale tuliofika mwanza kipindi cha nyuma naamini mpaka sasa ukiwa...
Akichangia bungeni leo mbunge huyo wa kahama ameshangazwa na namna wataalamu wetu wanaacha mambo ya kuwasaidia wananchi na kuiga mambo na kufanya kwa kufuata mkumbo badala ya kutumia akili zao kufikiri namna ya kuwarahisishia maisha wananchi.
Ametoa mfano wa baadhi ya mambo yanayofanywa bila...
Mbunge wa Kahama Mjini kupitia CCM Jumanne Kishimba, ameiomba Serikali ifungue chuo cha wizi kwa kuwa matukio ya wizi katika sekta za umma na Halmashauri nyingi umeshamiri kwa kiasi kikubwa na kwamba chuo hicho kitasaidia wale watu wanaoenda kuchunguza wezi, kuzijua mbinu zao na kuwabaini.
Hayo...
Mbunge wa Kahama Mjini (CCM), Jumanne Kishimba amemuomba Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene kuwaruhusu wakulima wa bangi kuiuza katika kipindi cha miezi sita.
Amesema kwa sasa wapo wakulima wa bangi wanaoshindwa kuiuza kwa kuwa kilimo hicho hakiruhusiwi nchini, na kutaka ambao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.