jumatano ya majivu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Historia ya Ibada ya majivu

    (HISTORY OF THE ASH RITUAL) 1. ASILI YA MAJIVU KATIKA BIBLIA (ORIGIN OF ASHES IN THE BIBLE) Majivu yametumika tangu nyakati za Agano la Kale kama ishara ya toba, huzuni, na unyenyekevu mbele ya Mungu. (Ashes have been used since Old Testament times as a symbol of repentance, sorrow, and...
  2. Bueno

    Nawakumbusha wote walioenda kupaka majivu jana, mfungo umeanza!

    Rejea kichwa cha mada hapo juu. Nawakumbusha wale wote walioenda kupaka majivu jana na jana walianza mfungo ila leo wanaendeleza yaleyale ya hapo kabla na wanasema wamefunga mfungo wa Kwarezima, sasa wewe unasengenya, unawasema wengine vibaya, huonei wengine huruma, husaidii wengine, nk...
  3. The Watchman

    Jumatano ya majivu: Kupakwa majivu ni kukubali kwetu kuwa, tu wadhambi, tunahitaji kusafishwa 'Mwanadamu, u mavumbi na mavumbini utarudi'

    Jumatano ya Majivu, Mwanzo wa Kipindi cha Kwaresima Cha Siku 40 Kwaresima ni kipindi cha siku arobaini za kufunga, kusali, kutafakari Neno la Mungu na kufanya matendo ya huruma. Ni kipindi kinachotualika kumwilisha ndani mwetu utamaduni wa upendo, kwa kufunga na kutenda matendo ya huruma: kiroho...
  4. T

    Papa Francis hataongoza ibada ya Jumatano ya majivu Machi 5, 2025 licha ya hali yake kuimarika

    Papa Francis anaendelea kupata nafuu huku akiendelea kupambana na nimonia pande zote mbili, Vatican ilitangaza Ijumaa, lakini hatatoongoza ibada ya kila mwaka ya Kanisa inayofungua kipindi cha Kwaresima cha Wakristo wiki ijayo. Francis, mwenye umri wa miaka 88, sasa amekaa hospitalini Gemelli...
Back
Top Bottom