jumbe

Aboud Jumbe Mwinyi (14 June 1920 – 14 August 2016) was a Zanzibari politician. He held several positions, including the second president of Zanzibar, chairman of the Revolutionary Council, Vice-President of the Union, and the vice-chairman of the Chama Cha Mapinduzi (CCM) party.Jumbe served as president of Zanzibar from 11 April 1972 until 30 January 1984. He succeeded Abeid Karume as president, following Karume's assassination on 7 April 1972. He was initially elected by the Revolutionary Council as a part of the Afro-Shirazi Party (ASP). While he was in office, in 1977, the two ruling parties of Tanzania merged. In particular, the ASP and the Tanganyika African National Union (TANU), merged to create Tanzania's ruling party, the CCM.In 1979, Jumbe introduced the first post-revolution constitution of Zanzibar. This separated the powers of the Revolutionary Council and the House of Representatives. Furthermore, the new constitution established elections by universal suffrage, instead of being elected by the Revolutionary Council.Jumbe died at the age of 96 at his home at Kigamboni, Dar es Salaam, on 14 August 2016.

View More On Wikipedia.org
  1. G

    Abdul Jumbe alikuwa kichwa sana. Pamoja na kupinga muungano wa serikali 2, kumbe alipinga urais usiokuwa na ukomo?

    Kuna kila haja ya kuanzisha kumbukumbu ya Abdul Jumbe hapa nchini. Kwa maoni yangu huyu ndiye mzanzibari mwenye akili na maono mengi. Huyu mwamba nilipata kufahamu kuwa aliupinga kwa nguvu zake zote huu muungano magumashi wa serikali 2. Lkn sikupata kufahamu kuwa yeye ndiye kinara wa kupinga...
  2. B

    Kamanda Mbowe ashauriwe kupokea simu, nyingi ya hizo zina jumbe zake muhimu kwa mustakabala mwema wa chama!

    Yasemekana kamanda Mbowe ameadimika. Kwamba tofauti na ilivyokuwa, simu hapokei tena: Ashauriwe mwamba simu zote si za kuomba fadhila, zingine zimesheheni jumbe zenye kuweza kuunusuru umoja wetu kwenye nyakati hizi tete kabisa. Zaidi sana akumbushwe mwamba: "wajumbe hawauwawi!" Pia soma...
  3. Habari ni jumbe nimepata kutoka google nataka kufafanuliwa kwa wataalam wa izi mambo

    Google You've closed your Google payments profile Hello from Google, You recently closed your Google payments profile. You'll still be responsible for outstanding balances. Most customers can delete additional payment information, including loyalty cards and contactless payment attempts, from My...
  4. Kamishna wa Polisi Tatu Rashid Jumbe anaweza kujaa kuwa IGP mzuri siku za usoni

    Kutoka kwenye korido za makumbusho naambiwa kamishna wa Polisi Tatu Jumbe ni moja ya askari polisi wachapakazi, waadalifu na wenye utumishi mzuri ndani ya jeshi hilo. Hivyo msishangae siku moja nyota yake iking’aa vizuri akawa IGP wetu.
  5. H

    Jumbe za matangazo na taarifa za serikali zimekuwakero kwetu wateja TCRA jitafakarini

    Habarini, Kwakweli sasa imekuwa kero kwa jumbe za matangazo,promotion,taarifa,nk kutoka serikalini, makampuni, taasisi, wafanyabiashara,nk yaani kwa siku mmiliki wa simu/line anapokea zaidi ya jumbe 20. Kulingana na sheria ya mitandao huu ni usumbufu na kuingilia uhuru wa mteja kwani makampuni...
  6. Kataa ndoa naona mmeamua kufika mbali h

    KUNa vitu vina tia sana uchungu
  7. Hivi mwigizaji anayeitwa bwana jumbe aliishiaga wapi?

    Habarini, Miaka iliopita channel ten kuna muugizaji mmoja alikuwa akijulikana kama bwana jumbe, nahisi alikuwa pia kwenye matangazo ya foreplan clinic ya dokta mwaka. Bwana jumbe kiumri ni mtu wa makamo, alikuwa anaigiza kama mwanaume player, kuna scene yake moja alinifurahisha, yani...
  8. Jina lake ni Jumbe Shomari Jahazi

    JINA LAKE KAMILI NI JUMBE SHOMARI JAHAZI Picha hiyo hapo chini ni picha maarufu sana. Katikati ni Abushiri bin Salim Al Harith, wa kwanza kushoto ni Jahazi na kulia ni Makanda bin Mwinyimkuu. Vitabu vyote vya historia vinatambulisha Jahazi kwa jina moja tu la Jahazi. Leo kitukuu chake Jahazi...
  9. CDE. SILAF JUMBE MAUFI, Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Rukwa

    CDE. SILAF JUMBE MAUFI, Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Rukwa ameanza ziara rasmi akiambatana na Wajumbe wa Kamati ya Siasa ya Mkoa wa Rukwa itakayohusisha Mikutano ya ndani na Mikutano ya hadhara kuanzia tarehe 02 - 06 Juni, 2025. Ziara inalenga kukutana na Wajumbe wa Halmashauri Kuu za Kata...
  10. Lissu na Muungano wa mchongo, aeleza kutekwa kwa Jumbe

    Tundu Lissu akielezea kuhusu muungano wa mchongo. Aelezea kuhusu wapinga muungano wa kizanzibari kutekwa na kuwekwa vizuizini, Jumbe na wenzake. Sikilizeni hapa cheche zake.
  11. Jihadhari na jumbe hizi; usiingie link ya “UNICEF Foundation Africa”

    Halo wanna intelligent, Lengo la kuja hapa ni kukupa taahadhari Kuna jumbe feki zinatembea mitandao ya kijaamii kua unicef Africa inagawa hela za bure kwa watu huo ni utapeli na UNICEF wamesema hawafanyi huduma hio watu wanaingiliwa acc Kisha inaandika umepokea mill 2700000 from UNICEF hao ni...
  12. Historia ya Jumbe Mwinjuma Digosi, Sheikh Suleiman Takadir na Julius Nyerere 1954

    HISTORIA YA JUMBE MWINJUMA DIGOSI, SHEIKH SULEIMAN TAKADIR NA JULIUS NYERERE 1954 Inawezekana Jumbe Mwinjuma Digosi alikuwa umri huu wa sasa alionao mwanae Zakaria huyu Mwenyekiti wa CCM Kata ya Kariakoo. Naukumbuka uchaguzi wa Zakaria Digosi Jangwani kwani Kariakoo iliwaka moto kwa ushindani...
  13. Kwa nini mtandao wa TTCL unatumiwa sana na matapeli kutuma jumbe zao?

    Nataka kujua kuna ushirika gani kwa hao matapeli na mtandao wa TTCL
  14. TANZIA Mwanamuziki Hussein Jumbe afariki dunia

    Habari zilizotufikia Majirani zake Muda huu kutoka kwa ndugu zake waliokuwa wanamuuguza Hosptitali ya Amana, Amefariki Dunia jioni hii ------- Tasnia ya Muziki wa Dansi imekumbwa na majonzi makubwa baada ya aliyekuwa Nguli wa Muziki huo, Mzee Hussein Jumbe, kufariki leo Aprili 10, 2023 katika...
  15. Serikali itumie huduma ya ujumbe mfupi wa simu kuelimisha wananchi juu ya mambo mbalimbali

    Dah serikali zetu hizi bhana Ukiachilia mbali uzwazwa wa mtu binafsi wa kutapeliwa na kufahamishana habari za sensa ambapo taarifa zake tayari zipo kwenye Tovuti ya takwimu nbs.go.tz na pdf lishatoka. Nadhani kunaishu nyingine nyingi za muhimu ambazo serikali zetu zilitakiwa zitilie mkazo kwa...
  16. Wabunge: Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi iitwe Ulinzi wa Taarifa Binafsi na Faragha

    Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mjadala wa Muswada wa Ulinzi wa Taarifa binafsi wametoa hoja zao huku wengi wao wakionekana kuunga mkono kuundwa kwa sheria hiyo. Aidha katika kuongeza nguvu hoja Wabunge wengi wanaonesha kwamba ni muhimu katika uundaji wa sheria hiyo...
  17. Tanzania mtu anaweza kuwekwa kizuizini nyumbani kwake?

    Wakuu salama? Naimbeni mnijuze, kwa nchi ya Tanzania, mtu anaweza kuwekwa kizuizini nyumbani kwake? Kama ndio ni sheria ipi hiyo inaruhusu katika katiba yetu?
  18. Group Admin kuwa na uwezo wa kufuta jumbe kwenye group la WhatsApp.

    Group Admin kuwa na uwezo wa kufuta jumbe kwenye group la WhatsApp. Mtandao wa WhatsApp kufanya maboresho na kuruhusu kiongozi wa kikundi (Group Admin) uwezo wa kufuta jumbe kwenye kikundi. Hivyo group Admin atakuwa na uwezo wa kudhibiti mijadala kwenye group boresho hili WhatsApp wamepanga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…