jumia

  1. B

    Waraka wa TEC umesomwa kwenye Jumuia yangu ya Mt. Marcelino. Tunawashukuru Maaskofu. Kesho utasomwa vigangoni na Parokiani Mt. Antoni wa Padua

    Leo Mambo yamependeza sana, Waraka wa TEC unaofafanua Mkataba wa Bandari za Tanzania na DPW ya Dubai wenye ujumbe mwanana wa Sauti ya Watu ni Sauti ya Mungu. Yaliyojitokeza ni waumini kuuelewa na kuukubali. Pembezoni nimeteta na Mh. Mbunge wa Jimbo letu, Ni muumini wa Jumia hii, kwa ufupi...
  2. polokwane

    JUMIA TANZANIA tafadhari rudisheni huduma zenu tanzania mliondoka mkiwa bado mnahitajika sana

    hii ni moja ya kampini iliyo funga biashara zake tanzania mapema kabisa baada ya beana yule kushika madaraka tafadhari kama mawakala mpo huku tunaomba shaurianeni mturejeshee huduma zenu kwa sababu kuna baadhi ya bidhaa tulizipata kwenu wakati sehemu zingine hazipo
  3. MK254

    Imeshindikana kabisa kwa bisahara za kwenye mitandao (e-commerce) kule Tanzania. Jumia, Tala, Brigter Monday wote walifungasha

    Sijui ni sera za kijamaa au nini husababisha Tanzania pawe pagumu kuingilika kibiashara, haswa kwa hizi za kwenye mitandao. Brighter Monday wamehama na kuamua kuendelea na huduma zao Nigeria, Ghana, Senegal, Kenya, Uganda, na Ethiopia. Sio hao tu, wengine wengi wamefungasha na kuhama, hawa...
  4. Mystery

    Ubabe wa watawala wetu umepaisha umaarufu wa vyombo vya habari vya nje vya BBC, DW na VoA!

    Tokea watawala wetu watangaze kanuni zao za "kipuuzi" kuwa kuanzia sasa, hakuna chombo cha habari hapa nchini kurusha matangazo na vyombo vya habari vya washirika toka nchi za nje, hadi kwanza wapate kibali toka mamlaka ya TCRA, wamepaisha mno umaarufu wa vyombo hivyo vya nje maradufu bila ya...
  5. B

    Mtandao wa Jumia wafunga biashara yake nchini Tanzania

    Kampuni ya kuuza bidhaa mtandaoni JUMIA yenye branch zake mbalimbali Afrika leo tarehe 27/11/2019 imefunga ofisi zake ramsi, hata hivyo imebakisha kitengo kimoja kinachohusisha mauzo ya chakula pekee. Ukitoa ofisi za Tanzania pia wamefunga ofisi zao za nchini Cameroon, kwa madai kuwa ofisi hizi...
Back
Top Bottom