Ikitoa maoni kwa Tume ya Haki Jinai katikakuboresha mfumo wa Haki nchini, Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT), imeshauri maeneo manne yanayohusisha mfumo wa huduma za magereza, utendaji wa Jeshi la Polisi na mhimili wa mahakama chini ya msingi wa biblia, kitabu cha Isaya sura ya 32:17-18...