Tukumbuke kuwa ingawa Ulaya na Marekani na Canada pamoja na washirika wao Australia, New Zealand na Japan ni Democracy, bado kumekuwa na vyama vya kisoshalist, liberals na green parties (vyama kama Democrat-USA, Labourzystów-UK, République en Marche party/Renaissance cha Emmanuel Macron, SDP cha...