Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Chitete wilayani Ileje, mkoani Songwe, Harison Mwampashi (62) amefariki dunia baada ya kudaiwa kuuawa na watu wasiojulikana.
Mwenyekiti wa kijiji, hicho Joseph Mwashitete amesema tukio hilo lilitokea jana Jumatano Machi 12...
HAwa jamaa kumbe huwa wanajua hawashindagi kwa haki bhana eti wanadai mwaka huu watashinda kwa haki. Haki gani sijui wananzungumzia
====
MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi, Fadhili Maganya amesema CCM kimejipanga kupata ushindi wa haki katika uchaguzi Mkuu mwaka huu...
Yani kila mwaka CCM sera zao ni maendeleo sekta ya afya na elimu, miaka zaidi ya 60 ya uhuru bado sera zao wanazoona zitawapitisha ni kama za miaka ya 70 huko.
Soma: Pre GE2025 - Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
===...
Naona sasa wamendelea kutia nguvu katika harakati zao za kampeni mpaka mashuleni sasa si ndiyo?
==================
Tabia za wazazi Wengi kushindwa kuwalea watoto katika malezi yenye maadili mema imetajwa kuendelea kuliingiza Taifa kwenye misukosuko na mmomonyoko wa maadili kwa watoto wanaoweza...
Kwa kweli inashangaza jinsi CCM ilivyogeuka na kuwa chama kisichojali habari za wananchi.
Inashangaza nchi hii ina Rais mwanamke, ina Umoja wa wanawake Tanzania (UWT) ina jumuia ya wazazi lakini leo hii wote hao wanashindwa kutoa kauli kukemea kauli ya kifedhuli, ya kibaradhuli na ya kibri...
Kwa miaka 3 sasa shule za wazazi-CCM zimekuwa zikifanya mitihani ya kitaifa. Zoezi hili limekuwa na ufanisi na limezirudisha shule za CCM kwenye ufaulu mzuri.
Hata hivyo kuondoka kwa Katibu Mkuu, Gilbert Kalima kumekuwa pigo kubwa sana kwa shule za wazazi na CCM. kwa sasa shule zimebakia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.