1: Sayari ya Jupiter ni sayari kubwa kuliko zote kwenye mfumo wa jua.Kwa makadirio ina upana kwa kilomita 142,000 kutoka kwenye Equator yake.Sayari ya jupiter ni kubwa kiasi ambacho unaweza kuzikusanya sayari zingine 7 zilizobaki na kuziingiza zikaenea ndani yake. Kwa dunia yetu, inaweza kuingia...