jussa

Ismail Jussa Ladhu (born 18 August 1971) is a Zanzibari ACT Wazalendo politician serving the Stonetown constituency in the Zanzibar House of Representatives. He also served as a member of the Tanzanian Parliament in 2010 after being nominated by President Jakaya Kikwete.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    Maelezo ya Makamu Mwenyekiti (Zanzibar) ACT, Ismail Jussa alipozungumza na Wanahabari Makao Makuu ya Chama, Vuga, Zanzibar, Februari 27, 2025

    UTANGULIZI: Nimewaita hapa leo kuzungumzia kashfa kubwa (major scandal) inayozunguka kile kilichopewa jina la uwekezaji wa kimataifa katika Bandari ya Zanzibar ambacho sasa kinawatafuna wananchi masikini wa Zanzibar walioangushiwa zigo kubwa la kubeba gharama za mradi huo wa kashfa. Zigo hilo...
  2. T

    Jussa: Kwa sasa meli nyingi za mizigo zinakataa kuja Zanzibar

    "Kwa sasa meli nyigi za mizigo zinakataa kuja Zanzibar kutokana na usumbufu huo huku kukiwa na mamia ya makontena Zanzibar yaliyorundikana katiba bandari ya Mombasa nchini Kenya kwa ziadi ya mwezi mmoja yakisubiri meli ndogo kuyaleta Zanzibar" - Ismail Jussa, Makamu Mwenyekiti wa ACT- Wazalende...
  3. The Watchman

    LGE2024 Jussa: Chama cha upinzani chenye muelekeo ni ACT- WAZALENDO

    Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Zanzibar, Ismail Jussa, amewaomba wananchi wa Mtaa wa Komesho, Kata ya Msambweni, Jimbo la Tanga Mjini na vijiji vya jirani kuwaamini wagombea wa chama hicho kwa kuwapigia kura katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27, 2024. Akizungumza...
  4. L

    ACT Wazalendo mfikishieni salamu Ismail Jussa kuhusu umuhimu wa kodi

    Nimeona Clip moja huko nyumbani kwetu Kizimkazi Bw.Ismail Jussa, kumbuka huyu ni mwanasheria, akilalamika jukwaani na kuwafanya watu majuha kuwa serikali ieleze sababu za kuwakamua watu kodi. Sasa mimi am a politician but Ismail Jussa naomba usome hapa kuhusu Theoritical concepts behind...
  5. Pascal Mayalla

    KMT Wiki Hii Msajili wa Vyama, Jaji Mutungi, Father Kitima, Balozi Amina Salum Ali, Ismail Jussa, Mjengwa, Selasini, Kibamba, Cheyo Waunguruma!.

    Wanabodi Ule mfufulizo wa kipindi cha KMT, kinaendelea Channel Ten kila siku za Jumapili saa 3:00 za usiku na marudio ni kila siku za Jumatano Saa 9:30 Alasiri. Kipindi cha Wiki Hii, Jumapili ya jana ni hiki https://youtu.be/cQiwZySjhsg?si=-4HRmye7ClGDrC0C Wazungumzaji ni 1...
  6. J

    ACT Wazalendo: CCM wamekiri hawajawahi kushinda Urais wa Zanzibar sasa tunawaambia 2025 watake wasitake wataondoka!

    Kaimu Kiongozi mkuu wa ACT Wazalendo Jussa amesema Kiongozi mmoja mkubwa wa CCM amekiri hadharani kwamba tangu Mfumo wa Vyama vingi uanze CCM haijawahi kushinda uRais wa Zanzibar Kwahiyo basi 2025 CCM waelewe mapema kabisa Watake Wasitake Wataondoka na moto tumeshauwasha leo, amesisitiza...
Back
Top Bottom