justine shonga afariki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TANZIA Nyota wa zamani wa Orlando Pirates, Justin Shonga afariki dunia

    Mchezaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Zambia (Chipolopolo), Justin Shonga, amefariki dunia. Msemaji Msaidizi wa Polisi wa Zambia, Dan Mwale, amethibitisha kutokea kwa kifo hili Mwale alisema Shonga alifariki dunia katika Hospitali ya Polisi ya Sikanze baada ya kuugua kwa muda mfupi. Enzi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…