juventus

  1. Juice world

    Hivi hii timu ya Juventus inamashabiki kweli

    Hii timu inaitwa kubwa lakini naona Haina mashabiki au ukubwa wao ni upi kama makombe hawabebi aisee naishindwa kuelewa maana hata top 4 imekua shida kwao kuipata halafu inaitwa timu kubwa
  2. Waufukweni

    Mtoto wa Hamisa Mobetto, Dylan na dili la Juventus Academy Tanzania

    Mtoto wa Hamisa Mobetto, Dylan Deetz, amejiunga rasmi na Juventus Academy Tanzania kama balozi. Hamisa Mobetto alieleza furaha yake kupitia Instagram, akisema: Juventus Academy Tanzania inalenga kusaidia vijana wenye vipaji vya soka kwa kutumia mbinu za mafunzo za Juventus zinazotambulika...
  3. JanguKamaJangu

    TANZIA Gianluca Vialli afariki, alikuwa straika wa Chelsea, Juventus na Italia

    Raia huyo wa Italia amefariki akiwa na umri wa miaka 58 alipokuwa amelazwa jijini London, England ikiwa ni wiki tatu tangu alipoacha kazi ya kufundisha Nchini Italia. Alikuwa akisumbuliwa na saratani ya kongosho kwa muda. Alikuwa straika aliyecheza Timu ya Taifa ya Italia, Sampdoria, Chelsea...
  4. JanguKamaJangu

    Antonio Conte anaweza kurejea Juventus kama Max Allegri akifukuzwa kazi

    Kocha wa Tottenham Hotspur, Antonio Conte ametajwa kuhusishwa kuwaniwa na Juventus kama itamfukuza Max Allegri ambaye anakabiliwa na presha kubwa kutokana na matokeo mabaya wanayopata. Juventus inashika nafasi ya 8 katika msimamo wa Serie A ikiwa imeshinda mechi mbili kati ya saba, hivyo...
  5. T

    Movements za striker wa Simba zinafanana kabisa na Mshambuliaji wa Juventus, Dusan Vlahovic!! Ni suala la muda tu awadhihirishie ubora wake

    Bila ya salamu!! Toka karne hii ya 21 ianze hakujawahi kutokea katika ligi kuu ya soka ya Tanzania kupata mshambuliaji mwenye movements bora ndani ya eneo la kumi na nane kama alivyo mshambuliaji wa miamba ya soka ya Tanzania, Simba Sc,Mheshimiwa Dejan Georgijevic. Sehemu pekee ambapo...
  6. mshale21

    Manchester City na Juventus zimekubaliana kuhusu uhamisho wa mshambuliaji Mreno Cristiano Ronaldo

    Juventus wanataka kati ya £21m-25m kwa ajili ya Ronaldo, huku City ikitarajiwa kumpa mkataba wa miaka 2. (Guardian) Klabu hiyo ya Italia inatarajia Ronaldo atabakia klabuni hapo lakini wana nia ya kumsajili mshambuliaji wa City mbrazil Gabriel Jesus, 24, kama mbadala wake. (Sky Sports)
  7. C

    Ronaldo and Messi is it coincidence?

    ▪️Cristiano Ronaldo is 869 days older than Lionel Messi ▪️ Cristiano Ronaldo Jr is 869 days older than Thiago Messi ▪️Cristiano Ronaldo’ second son is named Mateo ▪️Lionel Messi’s second son is named Mateo ▪️Cristiano Ronaldo won his first international trophy on July 10 ▪️Lionel Messi won his...
  8. Suley2019

    Ronaldo kusalia Juventus kwa mwaka mmoja zaidi

    Wakala wa Cristiano Ronaldo, Jorge Mendes anafanyia kazi mpango wa kuongezwa kwa mkataba nyota huyo wa kusalia Juventus kwa mwaka mmoja zaidi utakaomfunga mshambuliaji huyo wa Ureno kuendelea kukipigia klabu hiyo ya Serie A mpaka mwaka 2023. Hivyo klabu ambazo zilikuwa zinamnyatia mshambuliaji...
  9. tc_edo

    Kocha Massimilliano Allegri arejea Juventus

    Leo asubuhi klabu ya Juventus imefikia makubaliano ya mdomo na Kocha Massimilliano Allegri kuinoa Juventus. Muda so mrefu atasaini mkataba na klabu hio itatangaza rasmi. Andrea Pirlo rasmi ataachana na Juventus.
Back
Top Bottom