Salaam wakuu,
Mimi ni kijana mpambanaji na mhitimu wa chuo nipo mjini Dar es salaam, katika kupambana na maisha na ukosefu wa ajira nimejitahidi kufanya biashara mbalimbali ambazo zimeweza kunifikisha hapa nilipo.
Nimefanya sana biashara ya nafaka mbalimbali na kuku kutoa mikoani kuleta huku...