kabendera vs vodacom

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Snipes

    Vodacom inakanusha mtandaoni, Kabendera yuko zake mahakani

    Julai 9, Dar es Salaam. Katika kesi ya mwandishi wa habari Eric Kabendera kwenye Mahakama Kuu ya Tanzania, ambapo amedai fidia ya dola milioni 10 dhidi ya Vodacom, kampuni hiyo imekanusha vikali madai hayo yaliyotolewa na Kabendera. Akizungumza na vyombo vya habari, Mtaalamu Mwandamizi wa...
  2. Erythrocyte

    Kesi ya Kabendera dhidi ya Vodacom yaanza rasmi leo

    Kama ulidhani jambo hili ni utani, basi ulijidanganya, mambo tayari yako Mahakamani. Kesi hii yaweza kuwa fundisho kwa mitandao mingine ya simu inayoshirikiana na Watekaji na Wauaji, hata kama watekaji hao ni Watu wa Serikali Taarifa kamili hii hapa --- Mchakato wa usikilizwaji wa kesi...
  3. O

    Mwandishi Eric Kabendera aelezea jinsi Vodacom Tanzania ilivyomkamatisha kwa vyombo vya Usalama

    Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam, imeitaka Kampuni ya huduma za mawasiliano ya simu za mkononi, Vodacom kufika mahakamani na kuwasilisha nyaraka inazotarajia kuzitumia katika kujitetea katika kesi ya madai iliyofunguliwa na wanahabari, Erick Kabendera dhidi yake. Katika kesi hiyo...
  4. F

    Madai ya fidia ya dola milioni Moja ya Erick Kabendera dhidi ya Vodacom yakienda mahakamani tutarajie nini?

    Mimi kwa uzoefu wangu wa kesi za jinai na madai, naona kuna vitu vya kisheria vitajitokeza au kuibuliwa kabla ya kesi ya msingi maana hatujui Kabendera atafungua Shauri la kudai fidia la aina gani. Je, ni la madhara ya kimadai? (Tortious Liability), je ni madhara ya kijinai? (Criminal Liability...
  5. Suley2019

    Erick Kabendera aitaka Vodacom imlipe Dola Milioni 1 kwa kufanikisha kutekwa kwake 2019

    Mwandishi wa Habari, ERICK KABENDERA ameitaka Kampuni ya Simu ya VODACOM TANZANIA kumlipa USD 1,000,000 MILIONI ndani ya SIKU 14 kwa Kufanikisha kutekwa kwake mwaka 2019. Amefanya hivyo kupitia kwa WAKILI wake Peter Madeleka. PIA, SOMA: - Mwanahabari Erick Kabendera akamatwa na Polisi...
Back
Top Bottom