Julai 9, Dar es Salaam. Katika kesi ya mwandishi wa habari Eric Kabendera kwenye Mahakama Kuu ya Tanzania, ambapo amedai fidia ya dola milioni 10 dhidi ya Vodacom, kampuni hiyo imekanusha vikali madai hayo yaliyotolewa na Kabendera.
Akizungumza na vyombo vya habari, Mtaalamu Mwandamizi wa...
Kama ulidhani jambo hili ni utani, basi ulijidanganya, mambo tayari yako Mahakamani.
Kesi hii yaweza kuwa fundisho kwa mitandao mingine ya simu inayoshirikiana na Watekaji na Wauaji, hata kama watekaji hao ni Watu wa Serikali
Taarifa kamili hii hapa
---
Mchakato wa usikilizwaji wa kesi...
Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam, imeitaka Kampuni ya huduma za mawasiliano ya simu za mkononi, Vodacom kufika mahakamani na kuwasilisha nyaraka inazotarajia kuzitumia katika kujitetea katika kesi ya madai iliyofunguliwa na wanahabari, Erick Kabendera dhidi yake.
Katika kesi hiyo...
Mimi kwa uzoefu wangu wa kesi za jinai na madai, naona kuna vitu vya kisheria vitajitokeza au kuibuliwa kabla ya kesi ya msingi maana hatujui Kabendera atafungua Shauri la kudai fidia la aina gani. Je, ni la madhara ya kimadai? (Tortious Liability), je ni madhara ya kijinai? (Criminal Liability...
Mwandishi wa Habari, ERICK KABENDERA ameitaka Kampuni ya Simu ya VODACOM TANZANIA kumlipa USD 1,000,000 MILIONI ndani ya SIKU 14 kwa Kufanikisha kutekwa kwake mwaka 2019.
Amefanya hivyo kupitia kwa WAKILI wake Peter Madeleka.
PIA, SOMA:
- Mwanahabari Erick Kabendera akamatwa na Polisi...