Habari ndugu zangu,
Moja ya sifa ya kabeji ni kwamba unaipika unaila mpaka unatamani iishe sasa ila ndo haiishi....twende kazi mboga gani nyingine ina sifa hii ?
Naomba kufahamishwa ukweli, nimekuwa nasikia mitaani kuwa ulaji wa mboga za majani aina ya Kabichi siyo mzuri kwa afya kwa watu wenye ugonjwa wa Goita.
Mimi kama mdau wa mboga za majani huwa napata wasiwasi sana juu ya maelezo haya. JamiiForums naomba mnisaidie kujua ukweli wake.
Nawasilisha.
Ni kwanini wanaume mnaichukia kabichi?
Skukuu yote hii nilitamani niwafukuze hawa wageni.
Asilimia kubwa wote waliiponda kabichi,
Mwingine anaita
Minyoo hiyo Mimi silagi.
Mwingine Nani ale mizizi hiyo?
Oooh sijawa ng'ombe hiyo kabichi usirudie kunitengea.
Huyu ndo balaa eti me yf akipika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.