KWEMA. Leo nilikuwa naperuzi mtandao wa Instagram kiukweli mwanzoni nilikuwa nafurahia kuona video za ndugu zetu wadazbe kiukweli UTAMADUNU wao unafurahisha pamoja jinsi wanavyoishi Kwa upendo nk
Sasa umepotea karbu mwaka nikaanza kuona mbaka wazungu wanaenda kutengeneza content...
Je, unajua kwamba karibu na Ziwa Eyasi nchini Tanzania, kuna kabila la kale la watu takriban 1,000 ambao ndio wawindaji wa mwisho waliosalia nchini?
Wahadzabe wameishi maisha mengi kama walivyoishi kwa maelfu ya miaka, wakitegemea ujuzi wao wa kina wa asili na desturi za jadi kuishi.
Licha ya...
Ndugu Waziri Salam,
Kuna video za jamii ya Wahadzabe zinazoishi maisha ya kijima porini, na ni jamii "duni" kulingana na mfumo wa maisha wa kisasa.
Lakini kwa bahati mbaya sana, kuna wageni wenye asili ya Asia wamekuwa waki record mtindo wao wa maisha na ku label kama Watanzania.
Ni video...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.